Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,105
Kashaisoma ameimaliza yote eti ananisumbua arosto
Am just happy, na mi ntakuja tuwe tunasoma naye, siyo fresh nimwache peke ake.
Kashaisoma ameimaliza yote eti ananisumbua arosto
HahahahaHahaha
Kaka kipenzi, hebu ruka tena nione

Am humbled broda!You make me proud dada.
Thats why you are my prwcious one.
HahahaNshamaliza ujue... Shunie ananibaniaaa
NdiwooooKhaaaaaa
Ewaaaaa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Am just happy, na mi ntakuja tuwe tunasoma naye, siyo fresh nimwache peke ake.
Nafurahi pia dear kakaHahahaha
Huyoooo! Nimerukaaa!
Nimefurahi nashindwa hata la kusema
![]()
![]()
JamaniHahaha
Anazitoa chache Shunie huyu, ntaongea naye sasa aziongeze. Ntakuja tuwe tunaisoma wote.
You gonna do t.Am gonna try!!
Sasa usimsumbue na arosto huyo dhahabu wa moyo wangu. Maana naskia unapunguza kasiKhaaaaaa
Ntakujaaa sometimes hapo weekend she needs me there.Yaan inabidi umfate huku arosto inakalibia

HahahaYou gonna do t.
Nakuminia mnooo! Sakayo wangu
Ahsante kwa kuwa dunia yangu. Dada.Nafurahi pia dear kaka
Ni kweli... Katoka ishirini kwa siku hadi mbili!! Ni sawa hiyo kaka Darling?!Sasa usimsumbue na arosto huyo dhahabu wa moyo wangu. Maana naskia unapunguza kasi
Khaaa! Hapo siyo kapunguza kasi, yaan hapo ana komoa.Ni kweli... Katoka ishirini kwa siku hadi mbili!! Ni sawa hiyo kaka Darling?!
Hadithi nzuri uta enjoy utapunguza na ku cheat bro. Utatulia na mkeoAaaahaha
Asante

Hebu njoo labda atakuelewa wewe kaka kipenzi!Khaaa! Hapo siyo kapunguza kasi, yaan hapo ana komoa.
Ntakuja tumkomoe wote my loveky sista. Nikija tuna mkimbiza mchaka mchaka.