Naona dalili ya huyo tajiri kuwekewa vikwazo vya biashara,afungiwe migodi yake,aambiwe hajalipa kodi na kesi nyingine zinamuita ili asimsaidie rose tu,sad!!Anataka kuona akipata tabu na huyo mfadhili asije akamuuwa tu
Nafurahi kukuona upo mzima!!!Mimi apa
Woooisasa za mwanzo umezisoma
HahahaSasa dada sidhani kama utaielewa
Ila ukiweka na huku ntakuwa nasoma piaAnza mwanzo utaielewa vizuri
Ilikuwaje sijui zkawa znanipita juu juuMe story zangu hazinaga hizo mambo nikileta mpaka mwisho wanaonijua wanajua
DaaahKuwekaje sasa si nimeshaweka jamani halafu huku naona arosto inakalibia shigongo bado hajatupia