DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,900
Kwa kuwa nimeona leo ni heriKwakweli sifahamu shemeji nimeleta story kalibia hata 10
Naamin sitapitwa tena
Kwa kuwa nimeona leo ni heriKwakweli sifahamu shemeji nimeleta story kalibia hata 10
HahahaHahahhah sitaki kuamini hivi ni wewe
AsanteeKaribu shemeji
Hawa jamaa wana roho kama ya kuongozi wa malaika yaaniDaah!hivi bokasa mbona ana horo mbaya hivi?
Rose na familia yake imemkosea nini?

HahahahaaaSawa bwana... Wacha nijifariji na episode ya 85&86
Hivi ile tulo kubaliana aianze ana isoma?sasa za mwanzo umezisoma
You can do it kipenzi changu nakiaminiaDaaah
Kaka karibuuu.Asantee
HahahaHahahahaaa
Nimefurahi hapa hadi nime ruka ruka.
You make me proud dada.Hahaha
Nshamaliza ujue... Shunie ananibaniaaaHivi ile tulo kubaliana aianze ana isoma?
Kumbe shigongo ndugu yako ??!Kesho jamani hali ni mbaya shigongo huko hajatupia naona arosto mbele
Am gonna try!!You can do it kipenzi changu nakiaminia
Just nenda mdogo mdogo tuu