Samahin sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wewe nivutie wateja wapi sasa kwani nauza mm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Iceman sitakiiii unavyoomba samahani zako mbavu sina
Ulituma msg kama umepanik[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa umenikosea nini lakini mpaka nikusamehe
Sawa ukiwa na story una nitag basiSijapaniki bwana nilikuuliza umeanza kweli toka mwanzo sababu kama story sio yangu lazima niandike jina la mtunzi
Niwe mkweliHuwa unapenda eenh mbona naletaga story nyingi view kwenye post zangu nenda kwenye thread nilizopost utaona story nyingi
Endelea basi maa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Iceman unanifurahisha sana na ukizipenda utakuwa teja la story kama wakina sie
Nimesoma zote,asanteKesho tutaendelea mama nimeshusha mbili za mwisho mda si mrefu
Soma kidogo kdogo basiNimesoma zote,asante
Hahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Iceman unanifurahisha sana na ukizipenda utakuwa teja la story kama wakina sie
Siwezi [emoji23][emoji23]Soma kidogo kdogo basi
Usiombe uwe addict na hizi story aiseh!Hahahah
Ngoja nione kama ntakuwa addict, uzuro tutakuwa wengi. Si mbaya