Dunia haina huruma

Dunia haina huruma

Aisee.......hadi uani mlikuwa mnaenda...!!
 
duh! ss ww ulikuwa unaenda uwani kwa dhumuni gan kuepuka mimba au starehe tu!!!!!
na kwann akukazanie wakat unasema hukupita peku?
mmmh!!!!!
 
Hiyo ni rare case na ni almost not countable rafiki...

Huyu bwana nilikuwa nikimuuliza yale maswali makusudi, kuna mahali nilitaka tuelekee lakini naona akaingia mtini...

samahan nimerudi mkuu
 
makavu live!I see
Msaada gani wakati ye mwenyewe kasema heshima mbele zarau takoni, kwa maneno yake kutembelea uani ilikuwa dharau kwa mtu wa watu. Harafu jamaa anakuja hapa na chorus ya dini, dunia haina huruma huku anakula kisamvu. Hovyo kabisa!
 
wewe ni muungwana wa kalimanzira yule mganga wa kienyeji au??maana....
 
Mkuu mbaka mtoto azaliwe!

Mkuu mbona unatabia za kimbwambwa,huoni vibaya kumuuzi mola wako kwa kwenda kinyume na maumbile?

heri mie ninayesema hadharan kuliki hao wanaomwaga povu kumbe ndo watumiaju wakuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom