Dunia haina huruma

Dunia haina huruma

Yaani inaonyesha ni jinsi gani huna heshima wala adabu si kwa wakubwa wala wadogo, maana hata ulivyoanza tu nimejua kuwa huna adabu, na humu JF kungekuwa tunachapana bakora leo ungejua kama humu ndani wapo watu waliokuzidi umri.
Pia hufai katika jamii wala maandiko, na wala hufai kuwa baba wa familia bora, maana mwanaume aliye kamili kuanzia kwenye kichwa, hawezi kuandika utumbo kama huu. Jipange upya.

Asante kwa kunisaidia kumsema huyu mtoto
 
Kujisifia kufanya mapenzi kinyume na maadili si sifa njema kwa utamaduni wa mtanzania na pia ni kinyume na maagizo ya Mungu,muumba wa mbingu na Dunia!

mkuu nimejisifia wap?
 
huu ni uongo! na kudhalilishana!
Mbona mwanzoni hukuja kutuambia?
Acha dharau
 
Sasa sijui tukushaurije!
Mbona hukuja kuomba ushauri wakati wa kulainishana pm? Lea mimba hiyo na endelea kupita uani. Mtoto akishazaliwa tutapima dna. Sawa mwanangu?

well struck ex-kidumu. . .
 
mtani ukishamaliza hii consultation utanikuta kwenye makao makuu nitakuwa nishatumbukiza mdomoni kitu kama cha nusu hivi
sawa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom