Ako Kwaang
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 324
- 259
hi MMU MEMBERS
heshima mbele dharau takoni
jaman nimekuja hapa kueleza yalonisibu mwenzenu kuna mdada tulikutana humu jf tukalainishana kwa PM kila mtu akaingia line tukaanza kudate miez miwili sasa na cha ajabu demu kaja na mimba anadai yangu wakat cjawai kwenda nae kavu hata cku moja kama n peku peku basi uani tu na nakumbuka ruti za uani zilikua nyingi kuliko seblen dem kadata anadai mimba yangu na anakazania tufunge ndoa nikifikiria msada niliompa na anayonifanyia naona dunia tambara bovu wakuu naomben ushauri please!
Mh! We una hatari kweli!! Yaani umeona njia ya vumbi ni salama kupiga mguu peku kuliko mbele?! Au ndo ulikuwa unaogopa kumtandika mimba mengine kila la heri?! Ushapima kale ka ugonjwa ka kileo?! Mimba inawezekana ni yako, Pengine maziwa uliyomimina njia ya vumbi mengine yalitoka yakagusa njia kuu!