DUMILA: Msafara wa Raia Samia wasimamishwa kwa Muda

DUMILA: Msafara wa Raia Samia wasimamishwa kwa Muda

Jingalao kwenye ubora wake.

Yaani kasimama kwa mpango wake unakuja kutudanganya eti kasimamishwa?

Halafu anashindana na nani kwanza?
Trump alishindana na nani?
 
Wananchi wanampenda sana Mh. Rais Samia, nachomuomba Mama Samia asikate tamaa hata kidogo, kwani mti wenye matunda ndio hupigwa mawe..!!

Mh. Rais tuko na wewe kila sekunde na Mungu akubariki daima
Uzuri anazijua shida halisi zinazotakiwa kufanyiwa kazi
 
Sikuwa najau kumbe tayari 100bil zimeanza kutumika na kwamba wamefunga barabara akasimama kwa kukosa njia.
 
Ila kuna watu wana moyo,mimi nizibebe pumbu zangu nipeleke barabarani kumsubiri samia
Watu hao wamegawanyika katika makundi haya.

1. Wenye maslahi
2. Ignorance
3. Walioshikishwa kaki

Namba 2 ndio most na inatutesa kama bongo land
 
Prefrontal Cortex:
  • Hii sehemu iko mbele ya ubongo.
  • Inahusiana na maamuzi ya kijamii, kujitathmini, na kutambua makosa.
  • Inafanya mtu ajihisi vibaya au aibu anapovunja kanuni za kijamii.
 
Watu hao wamegawanyika katika makundi haya.

1. Wenye maslahi
2. Ignorance
3. Walioshikishwa kaki

Namba 2 ndio most na inatutesa kama bongo land
Ndivyo mnavyoamini hivyo
 
Wananchi wanampenda sana Mh. Rais Samia, nachomuomba Mama Samia asikate tamaa hata kidogo, kwani mti wenye matunda ndio hupigwa mawe..!!

Mh. Rais tuko na wewe kila sekunde na Mungu akubariki daima
Nami namuombea Baraka na ashinde kwa kishindo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom