Dume zima unafanya birthday.

nitakupigia upatu uwe mode wa hawa new comers,,,,umenisaidia thanks mkuu
 
hahahah upako wa gari hahaha
 
Kwani zinagharimu kiasi gani ambacho sisi wa uswazi hatuwezi.

Ishu sio gharama...utaratibu,mazoea na vitu km hivyo...ni rahisi mtu kuweka kigodoro siku 3 uswazi eti anatoa beseni/sanduku kuliko kusherehekea nusu saa tu birthday yake!sijui km utanielewa....
 
Mkuu Molembe kama vile ulikuwa akilini mwangu, mi huwa nashangaa sana unakuta lidume lizima na sharubu zake mbovu eti linafanya birthday, this is nonensely kwani haya mambo ni ya wanawake na watoto, over.
 
Last edited by a moderator:
Mie nadhani mara nyingi wanaume hawaandai birthdays zao wenyewe, wanafanyiwa surprise parties na wapenzi wao. Kama wapo wanaojigharamia party basi ni % ndogo sana..binafsi siwezi kuandaa birthday party kwa ajili yangu..
 
Reactions: OHA
Mjadala kama ule..naona ni vizuri kukumbuka siku ya kuzaliwa either kwa kudonate kwa watoto yatima na kama unampenzi anayependa bata unamtoa out basi..lakini ile kuandaa, na mikekii, kuweka mpaka mc wanaume wengine wanatengeneza mpaka kadi za mwaliko sidhani kama ni poa kabisa..
 
Sio Vibaya kabisa lengo kuu la birthday party ni kusherekea ...na unaweza hata kwenda kituo cha watoto yatima ukanywa nao soda. ..Lengo kuu ni kufurahia na kila mtu ana namna yake ya kufurahia na jamii yake kwa hiyo usihukumu namna mtu anavyo furahia siku yake ya kuzaliwa
 
Hahhaha majibu yenu tuu mi hoii....
Mwanaume anaweza kufanya ofcz but isiwe na mashauzi shauzi,
mana bday party nyingi zimekaa kike kike,...
 

hahhahahah hadi kadi za mwaliko??mtu unakuwa umepaniajee..lol
 
Haaaaaaaaaah JF never boring! Cio vbaya mwanaume kufanya birthday,
Mi ni kE lakn kiukweli tangu nmejielewa cjawah na ctaki kusherehekea birthday part cio kwa nia mbaya ni basi tu naiona cio lazima.

Ila kila mtu ana Uhuru wa kusherehekea cku yake hiyo.
Hili suala la vtu vingine kuwa vimekaa Girlish ndio vnavyotusumbua hata katika ununuzi wa magari na vinginevyo Sijui ni nani alisema magari meupe yawe ya wanawakena meusi ya wanaume
Nakumbuka hata kipindi npo chuoni issue ya laptop eti za wadada ndogo za wakaka kubwa
Duuuuuuh ukinunua mdada PC kubwa utashangawajeee?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…