Dume zima na hirizi kiunoni

Mabinti wa Kitanzania kwa kupenda ubwete ukiwa umependeza tu na unausafiri wako unaouwezo wa kuwabadili kadiri unavyo taka.

Harufu ya pafyumu ilimchanganya akaamua achanue miguu mkwaju ukapita huku na huku akakutana na kinga.
 
Ni Jumatano mchana, lunch time hours, nimekaa kwenye restaurant moja mjini nikila, ghafla kaingia kijana mtanashati sana, kapendeza haswa, ana jeans na viatu vya bei mbaya, ana bracelet ya dhahabu, cheni kubwa ya dhahabu na pete nzito. Alipoingia tu mgahawa mzima ukajaa harufu ya Issey Miyake, nzuriii.
Akatembea taratibu na kuja kwenye meza niliyokuwa nimekaa, akaomba akae nami nami nikamkaribisha.
Nilipomaliza kula akaniomba ninywe japo glass ya wine ili tuweze kuongea kidogo na kufahamiana.
Mazungumzo yalinoga, tukabadilishana namba za simu na kuagana.
ijumaa mchana tukakutana tena kwa ajili ya lunch, tukawa marafiki wazoefu, kucheka, kugonga na utani kiasi, tukakubaliana jumamosi tutoke usiku kwa ajili ya candle light dinner.
Dinner ilikuwa nzuri sana na ilisindikizwa na muziki mwororo, it was so good really, baada ya dinner tukaanza kupata ndovu (huwa sina muda wa ku fake na savanna au Heineken, mi yangu ni ndovu tu) Usiku mzito, akili zimeongezeka, tukaona ni muda muafaka kwenda kupumzika.
Katikati ya mchezo nikaanza kuhisi kuna kitu kinanikwaruzakwaruza, baada ya chezo kwisha tukalala kama wafu, nilipoamka nikakuta jamaa kalala ile mbaya, kiunoni ana hirizi halafu una bag kubwa kuliko kufuli la geti. Nilikasirikaje? Alipoamka nikamuuliza hii ni ya nini? Eti inamlinda yeye na mali zake. Nikamuuliza aliyekupa yeye ana mali nyingi kiasi gani?
Akasema hana mali, lakini anaiamini sana.
Kuanzia siku hiyo sitaki hata kumuona, asije akanitoa kafara mtoto wa watu kwa ajili ya uchu wake wa utajiri.

You no. Please.
 
only 2 days na ukampa mambo wewe unatisha yaani kweli hiyo ndo luv at the first sight.
 
UKOME we c umedanganyika na dinner na ndovu za bure mjifunze nyie maduu
 
maskini dada duu wa watu kalala na manyaunyau pyeeee genye mbaya sana..
 
mimi .nilifikiri kahirizi umekakuta kakininginia chini korodA.NI???.
 
Kinga mlikumbukaaa!!!hiyo hirizi ni treller tu kapime ujitambue...hope unatania sio kweli.
 
Me langu moja tu
Sijaona kama kuna mahala umeitaja salama vipi ili husika Nazjaz
 
Last edited by a moderator:
Siku zote huwa naua Nazjaz ni mwanaume, loh! Kumbe niliingia choo cha kike? Ngoja nichuchumae ili tumalizane huko huko chini!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom