Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,179
- 34,435
Who asked for your opinion?Yaani hapo umedhihirisha ni jinsi gani ulivyo Maharage ya Mbeya a.k.a Chupi mkononi.
Who asked for your opinion?Yaani hapo umedhihirisha ni jinsi gani ulivyo Maharage ya Mbeya a.k.a Chupi mkononi.
daah.(vina mwanzo kati na mwisho)........mwenyewe kakusikia......lakini so long as umlimpa mchezo atajisifia......lakini inakuaje mshikaji uchawi unauaminia......?muamini mola katika hii dunia.........!! hirizi na makafara yatakuharibia.........!!
Manini hayo? Mahirizi?Tena kuna mengine yanapumua kabisa, afu yanakuwa yanatoa maji maji hivi.
Hata iwe kweli. So what?Unajuaje kama kisa hiki ni cha kweli ama lah? Usiwe mwepesi wa kukimbilia hitimisho
hivi kupewa mbunye ni issue kubwa ? shikamooo
Mjini hapa siku hizi mbona sio issue....ni habari na matukio tu kama haya tunayoyasikia.
ndo hivyo bwana kila mtu na starehe yake,...
ha ha ha aya aiyejua maana haambiwi maanaAhahahaha...yani ati first nilidhani ni mwanaume anaelezea hii stori!!
hivi kupewa mbunye ni issue kubwa ? shikamooo
Ni Jumatano mchana, lunch time hours, nimekaa kwenye restaurant moja mjini nikila, ghafla kaingia kijana mtanashati sana, kapendeza haswa, ana jeans na viatu vya bei mbaya, ana bracelet ya dhahabu, cheni kubwa ya dhahabu na pete nzito. Alipoingia tu mgahawa mzima ukajaa harufu ya Issey Miyake, nzuriii.
Akatembea taratibu na kuja kwenye meza niliyokuwa nimekaa, akaomba akae nami nami nikamkaribisha.
Nilipomaliza kula akaniomba ninywe japo glass ya wine ili tuweze kuongea kidogo na kufahamiana.
Mazungumzo yalinoga, tukabadilishana namba za simu na kuagana.
ijumaa mchana tukakutana tena kwa ajili ya lunch, tukawa marafiki wazoefu, kucheka, kugonga na utani kiasi, tukakubaliana jumamosi tutoke usiku kwa ajili ya candle light dinner.
Aaa,sasa si bora uendelee utafunwa naye kwasababu kama mtu wa kukutoa kafara ameshakutoa kwakuwa kipande cha mwili wako ameondoka nacho.je unaijua hiyo kuwa mwili wako umeugawa sehemu yako anatembea nayo popote aendapo nawe upo?