Dume zima na hirizi kiunoni

Dume zima na hirizi kiunoni

Eiyer ni binadamu wachache sana wenye uwezo wa kujikosoa na kuonyesha kukasirishwa na makosa yao
Niliwahi kusoma utafiti mmoja kuwa wanawake ndio wanaoongoza kwenda kwa waganga wa kienyeji

Sijui ni kwanini hapa ndio wa kwanza kuikemea hii makitu ....!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Siku ya tatu tu ukamzawadia tundaaa...!

Ulitaka amzawadie siku ya ngapi ? Nyie ndio mmekariri mtu kufukuzia demu miezi mitatu utadhani bado tuko enzi za ujima...! Nini siku ya tatu, watu wanafahamiana muda wa lunch, wanabadilshana namba za simu, jioni baada ya kazi kinywaji kidogo, kisha mnakwenda kupiga gemu safii kabisa. Na maisha yanaendelea!

Nyie ma-jentlomeni mnaodhani demu akikupa tunda mapema ni maharage ya Mbeya bado mnaishi karne ya 18
 
Ni Jumatano mchana, lunch time hours, nimekaa kwenye restaurant moja mjini nikila, ghafla kaingia kijana mtanashati sana, kapendeza haswa, ana jeans na viatu vya bei mbaya, ana bracelet ya dhahabu, cheni kubwa ya dhahabu na pete nzito. Alipoingia tu mgahawa mzima ukajaa harufu ya Issey Miyake, nzuriii.
Akatembea taratibu na kuja kwenye meza niliyokuwa nimekaa, akaomba akae nami nami nikamkaribisha.
Nilipomaliza kula akaniomba ninywe japo glass ya wine ili tuweze kuongea kidogo na kufahamiana.
Mazungumzo yalinoga, tukabadilishana namba za simu na kuagana.
ijumaa mchana tukakutana tena kwa ajili ya lunch, tukawa marafiki wazoefu, kucheka, kugonga na utani kiasi, tukakubaliana jumamosi tutoke usiku kwa ajili ya candle light dinner.
Dinner ilikuwa nzuri sana na ilisindikizwa na muziki mwororo, it was so good really, baada ya dinner tukaanza kupata ndovu (huwa sina muda wa ku fake na savanna au Heineken, mi yangu ni ndovu tu) Usiku mzito, akili zimeongezeka, tukaona ni muda muafaka kwenda kupumzika.
Katikati ya mchezo nikaanza kuhisi kuna kitu kinanikwaruzakwaruza, baada ya chezo kwisha tukalala kama wafu, nilipoamka nikakuta jamaa kalala ile mbaya, kiunoni ana hirizi halafu una bag kubwa kuliko kufuli la geti. Nilikasirikaje? Alipoamka nikamuuliza hii ni ya nini? Eti inamlinda yeye na mali zake. Nikamuuliza aliyekupa yeye ana mali nyingi kiasi gani?
Akasema hana mali, lakini anaiamini sana.
Kuanzia siku hiyo sitaki hata kumuona, asije akanitoa kafara mtoto wa watu kwa ajili ya uchu wake wa utajiri.

Yaani akikuto.mba anakutom.ba na jamaa yake, vipi mtomb.o ulikuwa fresh au ?
 
hahahahahah hongera kwa kuliwa yani hata mwezi haujapita ushagawa?wanawake wa siku hizi bana
kwani hao wanawake wana duu na nani?
kila mtu na starehe yake bhana, mambo ya kujibanabana ya nini? Sijakeketwa mimi, nahitaji kukunwa
 
Ni Jumatano mchana, lunch time hours, nimekaa kwenye restaurant moja mjini nikila, ghafla kaingia kijana mtanashati sana, kapendeza haswa, ana jeans na viatu vya bei mbaya, ana bracelet ya dhahabu, cheni kubwa ya dhahabu na pete nzito. Alipoingia tu mgahawa mzima ukajaa harufu ya Issey Miyake, nzuriii.
Akatembea taratibu na kuja kwenye meza niliyokuwa nimekaa, akaomba akae nami nami nikamkaribisha.
Nilipomaliza kula akaniomba ninywe japo glass ya wine ili tuweze kuongea kidogo na kufahamiana.
Mazungumzo yalinoga, tukabadilishana namba za simu na kuagana.
ijumaa mchana tukakutana tena kwa ajili ya lunch, tukawa marafiki wazoefu, kucheka, kugonga na utani kiasi, tukakubaliana jumamosi tutoke usiku kwa ajili ya candle light dinner.
Dinner ilikuwa nzuri sana na ilisindikizwa na muziki mwororo, it was so good really, baada ya dinner tukaanza kupata ndovu (huwa sina muda wa ku fake na savanna au Heineken, mi yangu ni ndovu tu) Usiku mzito, akili zimeongezeka, tukaona ni muda muafaka kwenda kupumzika.
Katikati ya mchezo nikaanza kuhisi kuna kitu kinanikwaruzakwaruza, baada ya chezo kwisha tukalala kama wafu, nilipoamka nikakuta jamaa kalala ile mbaya, kiunoni ana hirizi halafu una bag kubwa kuliko kufuli la geti. Nilikasirikaje? Alipoamka nikamuuliza hii ni ya nini? Eti inamlinda yeye na mali zake. Nikamuuliza aliyekupa yeye ana mali nyingi kiasi gani?
Akasema hana mali, lakini anaiamini sana.
Kuanzia siku hiyo sitaki hata kumuona, asije akanitoa kafara mtoto wa watu kwa ajili ya uchu wake wa utajiri.
Nazjaz umeandika thread ili nikuone eeeh! Haya nimekuona.
 
Last edited by a moderator:
Hahhhahhhahha we kutolewa out mara mbili tu ukapagawaa na kutoa k loll siku nyingine utakutana na nyokaa ipo kiunonii shauriro!!!!!!!!!
 
kwani hao wanawake wana duu na nani?
kila mtu na starehe yake bhana, mambo ya kujibanabana ya nini? Sijakeketwa mimi, nahitaji kukunwa

na ukiwa free namna hiyo bila mambo ya kujivunga vunga ukikutana na mkunaji mzuri , unakunwa vizuri tu , mpaka

mwenyewe unasema ndiyo.......

kunwa tu , kwa maana mnahitaji kukunwa na sisi tutawakuna tu bila hata kuwa-jurge.

Onyo; hakikisha unadeal na wanaume na siyo wavulana bibie.
 
Ulitaka amzawadie siku ya ngapi ? Nyie ndio mmekariri mtu kufukuzia demu miezi mitatu utadhani bado tuko enzi za ujima...! Nini siku ya tatu, watu wanafahamiana muda wa lunch, wanabadilshana namba za simu, jioni baada ya kazi kinywaji kidogo, kisha mnakwenda kupiga gemu safii kabisa. Na maisha yanaendelea!

Nyie ma-jentlomeni mnaodhani demu akikupa tunda mapema ni maharage ya Mbeya bado mnaishi karne ya 18

Well said Masaki. Kuna mijitu wala haijui ladha ya one night stand

One-night stand - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Last edited by a moderator:
Afadhali umesema
hapa ni wanafiki tu ,,,,,,,,,,,,

kwani inakuchukua muda gani?

hakuna asiyependa kuto.mba au kuto.mbwa

hayo mambo mtu unanyege zako , halafu unabanabana ili uonekane mgumu yameshapitwa na wakati ,,,,,,,,, pambafu

kabisa.........huo ni ushamba tu.
 
Kwa raha zangu

ebwanaaa! Kuna rafki yangu anatoka jela jumatatu kwahyo anahitaji mwanamke wa kumgegeda nmeona nikuombe ww kwavile uko cheap. Mm ntamwambia aandae ndovu tatu au unaonaje rafk yangu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom