Dume zima na hirizi kiunoni

Dume zima na hirizi kiunoni

Unaparamia tu ndo ukome mwenyewe uliona umepata pede zheeee hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaahahahahahahahhahahaha hiloooooooooopoooooooo
 
Yaani hapo umedhihirisha ni jinsi gani ulivyo Maharage ya Mbeya a.k.a Chupi mkononi.
Hahahahahaha yaani imebidi nicheke tu baada ya kusoma comment yako ama kweli kiswahili kimekua sana kila leo kuna misemo mipya.
 
Haya sasa kumekucha, wenye hirizi zetu tuanze kuzificha tukutanapo na warembo

Niliwahi kusoma utafiti mmoja kuwa wanawake ndio wanaoongoza kwenda kwa waganga wa kienyeji

Sijui ni kwanini hapa ndio wa kwanza kuikemea hii makitu ....!!!!!!
 
Wanafanya kwa hekima ndo maana so mwaume wala mwanauke utamkuta analalamika hovyo ukimpata huyo sikuhiyohiyo utatangaza ndoa cheza ja hekima weye.

ile mambo haina hekima style ni ile ile tu acha kutuchuza humu loh
 
Nazjaz a.k.a kurumbembe..........wanawake wengne wanawaza kuvua chupi tu........ Hv maku inanyegeka sana nn?
 
We naye maharage ya Mbeya yaani outing chache na ndovu kadhaa ukaamua kugawa mchezo. Ina maana ulikuwa umelewa hata hiyo hirizi hukuiona? Mhh nasikia harufu mbaya hapa kama huyo jamaa ana michezo ya ajabu basi nina shaka huenda ilichezwa.....
ni mawazo yangu tuu.
 
Ni Jumatano mchana, lunch time hours, nimekaa kwenye restaurant moja mjini nikila, ghafla kaingia kijana mtanashati sana, kapendeza haswa, ana jeans na viatu vya bei mbaya, ana bracelet ya dhahabu, cheni kubwa ya dhahabu na pete nzito. Alipoingia tu mgahawa mzima ukajaa harufu ya Issey Miyake, nzuriii.
Akatembea taratibu na kuja kwenye meza niliyokuwa nimekaa, akaomba akae nami nami nikamkaribisha.
Nilipomaliza kula akaniomba ninywe japo glass ya wine ili tuweze kuongea kidogo na kufahamiana.
Mazungumzo yalinoga, tukabadilishana namba za simu na kuagana.
ijumaa mchana tukakutana tena kwa ajili ya lunch, tukawa marafiki wazoefu, kucheka, kugonga na utani kiasi, tukakubaliana jumamosi tutoke usiku kwa ajili ya candle light dinner.
Dinner ilikuwa nzuri sana na ilisindikizwa na muziki mwororo, it was so good really, baada ya dinner tukaanza kupata ndovu (huwa sina muda wa ku fake na savanna au Heineken, mi yangu ni ndovu tu) Usiku mzito, akili zimeongezeka, tukaona ni muda muafaka kwenda kupumzika.
Katikati ya mchezo nikaanza kuhisi kuna kitu kinanikwaruzakwaruza, baada ya chezo kwisha tukalala kama wafu, nilipoamka nikakuta jamaa kalala ile mbaya, kiunoni ana hirizi halafu una bag kubwa kuliko kufuli la geti. Nilikasirikaje? Alipoamka nikamuuliza hii ni ya nini? Eti inamlinda yeye na mali zake. Nikamuuliza aliyekupa yeye ana mali nyingi kiasi gani?
Akasema hana mali, lakini anaiamini sana.
Kuanzia siku hiyo sitaki hata kumuona, asije akanitoa kafara mtoto wa watu kwa ajili ya uchu wake wa utajiri.

hahahahahah hongera kwa kuliwa yani hata mwezi haujapita ushagawa?wanawake wa siku hizi bana
 
Na usiombe ukakutna na mwanaume anaehusudu mambo ushirikana, utajuta....


Niliwahi kusoma utafiti mmoja kuwa wanawake ndio wanaoongoza kwenda kwa waganga wa kienyeji

Sijui ni kwanini hapa ndio wa kwanza kuikemea hii makitu ....!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom