Dume zima na hirizi kiunoni

Dume zima na hirizi kiunoni

hapo ndipo napo shindwa waelewa kufanya nafanya mna mwanaume ila yeye akija hapa atapewa hongera .... akifanya dada ni malaya ... utafikiria huo umalaya alifanya na mbuzi....wajinga kabisa

Haaaahaaaa....kupongezana tena? Hata siku hizi hiyo kitu ipo?
 
Ni Jumatano mchana, lunch time hours, nimekaa kwenye restaurant moja mjini nikila, ghafla kaingia kijana mtanashati sana, kapendeza haswa, ana jeans na viatu vya bei mbaya, ana bracelet ya dhahabu, cheni kubwa ya dhahabu na pete nzito. Alipoingia tu mgahawa mzima ukajaa harufu ya Issey Miyake, nzuriii.
Akatembea taratibu na kuja kwenye meza niliyokuwa nimekaa, akaomba akae nami nami nikamkaribisha.
Nilipomaliza kula akaniomba ninywe japo glass ya wine ili tuweze kuongea kidogo na kufahamiana.
Mazungumzo yalinoga, tukabadilishana namba za simu na kuagana.
ijumaa mchana tukakutana tena kwa ajili ya lunch, tukawa marafiki wazoefu, kucheka, kugonga na utani kiasi, tukakubaliana jumamosi tutoke usiku kwa ajili ya candle light dinner.
Dinner ilikuwa nzuri sana na ilisindikizwa na muziki mwororo, it was so good really, baada ya dinner tukaanza kupata ndovu (huwa sina muda wa ku fake na savanna au Heineken, mi yangu ni ndovu tu) Usiku mzito, akili zimeongezeka, tukaona ni muda muafaka kwenda kupumzika.
Katikati ya mchezo nikaanza kuhisi kuna kitu kinanikwaruzakwaruza, baada ya chezo kwisha tukalala kama wafu, nilipoamka nikakuta jamaa kalala ile mbaya, kiunoni ana hirizi halafu una bag kubwa kuliko kufuli la geti. Nilikasirikaje? Alipoamka nikamuuliza hii ni ya nini? Eti inamlinda yeye na mali zake. Nikamuuliza aliyekupa yeye ana mali nyingi kiasi gani?
Akasema hana mali, lakini anaiamini sana.
Kuanzia siku hiyo sitaki hata kumuona, asije akanitoa kafara mtoto wa watu kwa ajili ya uchu wake wa utajiri.

unaonekana mtaalam wa madanga eehhh..pole aisee njoo huku kwetu hatuyafichi hayo alafu sisi yanatulinda tukiwa ziwani usiku tukiwa tunavua sangara na sato tusikutane na Mv.Bukoba..alafu sisi bia zetu unasimama unapangiwa cret kwa kimo chako,iwe la savana dry,Heineken,bavaria,alvaro....n.k..achana nahao masharobaro wanapewa hizo ili wawa dobole kunako cha kunuka
 
Ndio, mahirizi

images
 
He he he, usinikumbushe

Kule zipo hadi za kugeuzia mimba mgongoni, hizo n-zinatoa hadi sauti kama cheche

Ulishakutana nayo ya hivyo?
Huko sangabuye ni mengi balaa na kule kwa waarabu wa kayenze
 
Kweli we wa Tanga siku 3 tu jamaa ameshasimika mkuki kunako, au huyo ni parttime?

Ni Jumatano mchana, lunch time hours, nimekaa kwenye restaurant moja mjini nikila, ghafla kaingia kijana mtanashati sana, kapendeza haswa, ana jeans na viatu vya bei mbaya, ana bracelet ya dhahabu, cheni kubwa ya dhahabu na pete nzito. Alipoingia tu mgahawa mzima ukajaa harufu ya Issey Miyake, nzuriii.
Akatembea taratibu na kuja kwenye meza niliyokuwa nimekaa, akaomba akae nami nami nikamkaribisha.
Nilipomaliza kula akaniomba ninywe japo glass ya wine ili tuweze kuongea kidogo na kufahamiana.
Mazungumzo yalinoga, tukabadilishana namba za simu na kuagana.
ijumaa mchana tukakutana tena kwa ajili ya lunch, tukawa marafiki wazoefu, kucheka, kugonga na utani kiasi, tukakubaliana jumamosi tutoke usiku kwa ajili ya candle light dinner.
Dinner ilikuwa nzuri sana na ilisindikizwa na muziki mwororo, it was so good really, baada ya dinner tukaanza kupata ndovu (huwa sina muda wa ku fake na savanna au Heineken, mi yangu ni ndovu tu) Usiku mzito, akili zimeongezeka, tukaona ni muda muafaka kwenda kupumzika.
Katikati ya mchezo nikaanza kuhisi kuna kitu kinanikwaruzakwaruza, baada ya chezo kwisha tukalala kama wafu, nilipoamka nikakuta jamaa kalala ile mbaya, kiunoni ana hirizi halafu una bag kubwa kuliko kufuli la geti. Nilikasirikaje? Alipoamka nikamuuliza hii ni ya nini? Eti inamlinda yeye na mali zake. Nikamuuliza aliyekupa yeye ana mali nyingi kiasi gani?
Akasema hana mali, lakini anaiamini sana.
Kuanzia siku hiyo sitaki hata kumuona, asije akanitoa kafara mtoto wa watu kwa ajili ya uchu wake wa utajiri.
 
hahahaaaaaa...... hope ni stori tuu maana ukikutana nayo ukweli sipati picha jinsi utakavyotimua mbio
 
Hehehhe...strangers wamekutana jumatano...jumamosi jamaa kala mzigo..!!

pole lakini...dunia ina makubwa zaidi ya hayo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom