Dume linateswa na Mwanamke.....!!

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Dume linapigwa na wanawake.jpg 1.jpg Shehe kanuna.jpg ...........
 
Hiyo picha ya kwanza lazima itakuwa ni wakenya, maana mijimama ya kenya ni mikatili kama simba
 
kazi ipo ila wote hawa wanajitakia atii ningekuwa miye huyo maalim mbona ningebariki hapo hata kwa kubashia tu.
 
Boflo hawa wa mwisho hawateswi bana..bali wanakonga nyoyo!!
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi ni kama bahari, jimwage tu, kina kirefu hayaa, kifupi twende, ili mradi ukonge moyo!!
 
Back
Top Bottom