Dume hili lanichefua jamani

kwakweli wanawake wengi ni wavumilivu sana. pole sana.

Mwanaume yeyote yule lazima akung'ang'anie wewe ni wapekee sana. aisee
 
hvi kwanin bnadam mwenzio akunyme uhuru?? Kwani tindkali ghali sana? We ubadili line za nin? Kisa upuuz wake? Kwa nin akunyme hata kucheua? Nahsi unamuendekeza wewe.
 
lakini ujue huyo jamaa anaitwa HAMIS mla tgo so take care unapotaka nunua huo ugomvi!
 
Inawezekana ulimpa tigo ndo maana anakusumbua...kma sio hivyo kaa tayari kufa na ukimwi ...unajua unashangaza tena saana au mnakaa jirani kias kwmb mnaona wakt wowte ..km sio hivo ww cha kufanya usijibu.sms zake hata ziwe za aina gani ikiingia tu.delete endelea mbele ukianza kifikiria msg zake kuna siku.utapigwa mtungo
 

Acheni mambo ya kiseenge jama!
Minyege tu inakusumbuwa
 

Ni kweli ila nahisi kama naye analipa mwanya wa kufanya hivo . . . . . na pengine hana uchungu kabisa na maisha yake ya mahusiano . . . . maybe bado ana muda kuchezacheza.

Yaani unikute Avemaria mie seriously in my place holding my goodies . . . univurugie kizembe kizembe???
Tena mara nne kabisa??!!!

Aiseee!!! Mbona "ama zangu ama zake" zingeshatimia zamani. Mweh
 
Mshamba tu huyo, kwani umezaliwa nae anavyosema hawez ishi bila weww?

mkuu mijitu mingine mijinga tu acheni mambo ya kusema amezaliwa nawe watu wanazaliwa pacha na wanaachana!
 

jamaa noma huyo, anazini hadi na midume wenzake? Nenda kamripoti Polisi akikusumbua tena wamtie mbaroni....
 
Unamuendekeza sana...

I hate women who complain abt their men disturbing them wakati wao wanawaruhusu kuwasumbua! #sielewi

Siyo kweli kuna midume mengine kwa kweli inasumbua hawataki kuona wamekataliwa.

Pokea ushauri wa kwenda kumripoti kunakohusika ili simu yake isikusumbue.

Vile vile mpe dume mwenzake wajibizane na kama amezidi nenda ofisini kwake ukampake vizuri.
 
labda wewe mtamu sana that's why anaogopa kukuacha ni pm no zako basi
 
Siyo kweli kuna midume mengine kwa kweli inasumbua hawataki kuona wamekataliwa.

Pokea ushauri wa kwenda kumripoti kunakohusika ili simu yake isikusumbue.

Vile vile mpe dume mwenzake wajibizane na kama amezidi nenda ofisini kwake ukampake vizuri.

I disagree!!
 
Mpende akupendae asiekupena achana nae. Huna haja ya kulazimisha mungu atakupa stahili kikubwa muweke mbele
 
Heee...!!!?? Kwaio jamaa mchicha pori? Mayo nene nacha!!!!
 
Matatizo mengine ya kujitakia!!!huyo unampa kabang moja tu anakaa upande apishe njia....we unamchekechekea tu atakutia mpaka dole la macho!
 
Advice is what we ask for when we know exactly what we ought to do but we dont wanna do it.
Quote me
 
hana lolote you hv to mean what you say. tatizo lako mkionana unamuintatain utavuna mabua tu
 




Wewe ni mtu mzima (nahisi), sasa kwa akili yako unafikiri atajirekebisha ukimrudia au? Kwa mtazamo wangu, mi naona ni wewe ndiye unayem-miss huyu mwanamme maana alikuzoesha kumfumania na sasa hauna kitu kama hicho, si ndiyo?
 

hapo napo ulimfumania au ulijuaje!!!!!!!!

hebu tuambie miss golden girl
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…