Dume hili lanichefua jamani

Dume hili lanichefua jamani

golden girl

Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
66
Reaction score
2
nilikuwa na mpenzi tuliedum nae takriban mwaka mmoja na nusu tukashindana tabia. kikubwa ni kwamba nimekuwa nikimfuma live kitandani na wanawake tofaut,kila nikimfuma anaomba msamaha tena huku machozi yanamtoka, tunaenda kupima ukimwi then namsamehe;nimemfuma mara nne na wanawake tofauti tofauti nikamwambia its enough. tukaachana. tatizo linakuja pale anaponisumbua mara kwa mar kwenye sim kwamba hawezi kuishi bila mimi. ananitumia text za mapenzi ukizingatia mim ninampenz mwingine.ameshanigombanisha na wapenzi wawili kila mara akijua mwanaume niliye nae anamfanyia fujo na matusi kem kem. nimemuweka black list, imeshindikana. nimebadilisha namba mara 3,anaitafuta namba yangu anaendeleza fujo zake,kibaya zaidi anatabia za uasherati kiasi cha kuzini na wanaume wenzake,jamani nimeshachoka na huu usumbufu naomben ushauri jaman.
 
Mshamba tu huyo, kwani umezaliwa nae anavyosema hawez ishi bila weww?
 
kwani mmezaliwa pamoja...we mchubulie tu usiwe unajibu wala kupokea cm yake
 
Jina lako ni Golden girl! Lazima akusumbue! Ila una moyo mzito kweli 4 times????
 
Kaa kimya usipokee wala kujibu text zake,ikibidi unapoanzsha uhusiano mpya mwambie mpenz wako mapema kama kuna rijamaa ri x rinasumbua.hiro rijamaa ni rifirauni tu rina... Hadi na wanaume wenzake? Daah! Ka vipi kamchukulie R.B Kabisa maana rinaonekana ni rikorofi usirichekee!
 
nilikuwa na mpenzi tuliedum nae takriban mwaka mmoja na nusu tukashindana tabia. kikubwa ni kwamba nimekuwa nikimfuma live kitandani na wanawake tofaut,kila nikimfuma anaomba msamaha tena huku machozi yanamtoka, tunaenda kupima ukimwi then namsamehe;nimemfuma mara nne na wanawake tofauti tofauti nikamwambia its enough. tukaachana. tatizo linakuja pale anaponisumbua mara kwa mar kwenye sim kwamba hawezi kuishi bila mimi. ananitumia text za mapenzi ukizingatia mim ninampenz mwingine.ameshanigombanisha na wapenzi wawili kila mara akijua mwanaume niliye nae anamfanyia fujo na matusi kem kem. nimemuweka black list, imeshindikana. nimebadilisha namba mara 3,anaitafuta namba yangu anaendeleza fujo zake,kibaya zaidi anatabia za uasherati kiasi cha kuzini na wanaume wenzake,jamani nimeshachoka na huu usumbufu naomben ushauri jaman.

nisamehe sitarudia tena,nitoe kwenye black list
 
Umeonaeee!
Hapa ni kujiamini na kuwa muwazi tu!
Kujiamini ni kumpa makavu huyo anaemsumbua bila kubadili sim card! Kujivika sura ya mbuzi ndio mpango mzima hapa!
Kuwa muwazi ni kumueleza huyo mpenzi wake wa sasa ayo manyago anayotendewa na huyo X wake!

Kwani huyo umezaliwa naye???
Mpe makavu live
Ukishindwa nenda kamshtaki Tcra
 
nilikuwa na mpenzi tuliedum nae takriban mwaka mmoja na nusu tukashindana tabia. kikubwa ni kwamba nimekuwa nikimfuma live kitandani na wanawake tofaut,kila nikimfuma anaomba msamaha tena huku machozi yanamtoka, tunaenda kupima ukimwi then namsamehe;nimemfuma mara nne na wanawake tofauti tofauti nikamwambia its enough. tukaachana. tatizo linakuja pale anaponisumbua mara kwa mar kwenye sim kwamba hawezi kuishi bila mimi. ananitumia text za mapenzi ukizingatia mim ninampenz mwingine.ameshanigombanisha na wapenzi wawili kila mara akijua mwanaume niliye nae anamfanyia fujo na matusi kem kem. nimemuweka black list, imeshindikana. nimebadilisha namba mara 3,anaitafuta namba yangu anaendeleza fujo zake,kibaya zaidi anatabia za uasherati kiasi cha kuzini na wanaume wenzake,jamani nimeshachoka na huu usumbufu naomben ushauri jaman.

Inaelekea bado unampenda - peleka issue hiyo polisi uone kama ataendelea.
 
Unajua, lazima akuzimie kwani hakuna mwanamke wa jinsi yako weyee, x 4 ukisamehe tu. Weye ni 4wd. Tena akijaribu kwa wengine hawamuwezi. Mpaka wenziwe nao anakuambia kuwa ni wake wenzio! Halafu unauliza nimfanyeje! Wapige picha, uwapeleke police na wasipofungwa miaka 30 basi weyee hama huo mji. Tena usiku wa manane asijue ulikoenda. Hana adabu huyoo.
 
Ila na wewe una moyo kweli mara nne red handed anagegeda unamsamehe tu? wenzio wakisikia tu bila hata kushuhudia na ushahidi wa kimazingira wanaacha manyoya......
 
Kaa chin na huyo bfrnd wako wa sasa mweleze ukwel kuhusu hlo filaun ili asije akabadlika litakapomletea kwere. Jambo lingne mwambie kuwa umevumilia vurugu zake vyakutosha kitakachofuata akirudia n kumpereka polis
 
nilikuwa na mpenzi tuliedum nae takriban mwaka mmoja na nusu tukashindana tabia. kikubwa ni kwamba nimekuwa nikimfuma live kitandani na wanawake tofaut,kila nikimfuma anaomba msamaha tena huku machozi yanamtoka, tunaenda kupima ukimwi then namsamehe;nimemfuma mara nne na wanawake tofauti tofauti nikamwambia its enough. tukaachana. tatizo linakuja pale anaponisumbua mara kwa mar kwenye sim kwamba hawezi kuishi bila mimi. ananitumia text za mapenzi ukizingatia mim ninampenz mwingine.ameshanigombanisha na wapenzi wawili kila mara akijua mwanaume niliye nae anamfanyia fujo na matusi kem kem. nimemuweka black list, imeshindikana. nimebadilisha namba mara 3,anaitafuta namba yangu anaendeleza fujo zake,kibaya zaidi anatabia za uasherati kiasi cha kuzini na wanaume wenzake,jamani nimeshachoka na huu usumbufu naomben ushauri jaman.

Mwambie ukweli mpenzi wako mpya khusu hili likimeo, kweli wanaume wengine wanabahati, yaani unafumaniwa live then unasamehewa? hii kitu ingekuwa imemkuta mke wangu ningekuwa nimeachika siku nyingi sana tena fumanio la kwanza tu
 
Nina wasi wasi na post zako golden girl, hivi mama yake na hili dume linalokusumbua ndiye yule yule anayekusumbua kukuomba nguo na kila kitu chako kama ulivyoongea kwenye ule uzi mwingine? nahisi hivi vitu untunga ili kuumiza watu vichwa hapa!!
nilikuwa na mpenzi tuliedum nae takriban mwaka mmoja na nusu tukashindana tabia. kikubwa ni kwamba nimekuwa nikimfuma live kitandani na wanawake tofaut,kila nikimfuma anaomba msamaha tena huku machozi yanamtoka, tunaenda kupima ukimwi then namsamehe;nimemfuma mara nne na wanawake tofauti tofauti nikamwambia its enough. tukaachana. tatizo linakuja pale anaponisumbua mara kwa mar kwenye sim kwamba hawezi kuishi bila mimi. ananitumia text za mapenzi ukizingatia mim ninampenz mwingine.ameshanigombanisha na wapenzi wawili kila mara akijua mwanaume niliye nae anamfanyia fujo na matusi kem kem. nimemuweka black list, imeshindikana. nimebadilisha namba mara 3,anaitafuta namba yangu anaendeleza fujo zake,kibaya zaidi anatabia za uasherati kiasi cha kuzini na wanaume wenzake,jamani nimeshachoka na huu usumbufu naomben ushauri jaman.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom