Duka la Kwanza la Pombe kufunguliwa Saudi Arabia

Qoran inasema pombe ni nzuri na ina faida kwa waislam na ni kazi ya Allah

and then aya Nyingine inasema Pombe na kamari ni kazi ya Shetani..

Sasa hapo jibu inakuja kuwa Allah ndie Shetani mwenyewe.. kajicholesha openly
 
We binti toka umepakuliwa na Jamaa aliyevaa kibalagashia unadhani kila basha muislamu.

We kama usipoacha tamaa ya posho za bure watakupakua mpk ushindwe kutembea.
Dunia mbaya hii. Watu hawajali km wewe ni mama mzima wa miaka 60. Kila ukitaka vya bure wao wanapakua tu.
Manina [emoji1787]
 
kahtaan na ndugu yangu adriz mambo inachemka huko Riyadh. Twende tukawahi michupa ya Juggermaster kabla maostaadh hawajaimaliza
Kwani cha ajabu kipi waarabu kulewa pombe ?
Makafiri bwana mnaskia raaaaha kusikia mwarabu analewa!
Kaeni chonjo.
Mwarabu akilewa anatafuta kalio fasta. Muulizeni Mlaleo kitu gani waarabu wa mombasa wanamfanya.
Anatembea upande ka Fuso imekata Centre bolt. [emoji1787]
 
Inaanza kidogo kidogo kuna siku pombe itauzwa makka na madina tuko apa we kalia sijui hijaaz watawala wa saudia sio Waislaam
Sasa na wewe ulivyo na tabia za ukewenza unaona kipi cha ajabu?
Kwani wakinywa pombe hapo Makkah maana yake ni ukafiri umeshinda au?
Mbona makafiri mnashangilia km mmeletewa Posa?
Ajeeb sana eisee [emoji23] [emoji1787]
 
Tuliwahi kuwaambia hapa watawala wa Saudia haswa mwanamfalme sio muislamu kabisa....Watu watabisha waislamu na viongozi wana uongozi wao chini ya msikitini wa Mecca.

Tangu huyo jamaa ammalize yule jamal khashongy kwa ukatili ,ni dhahiri sio muislamu.... Ushirikiano na Isral $USA sio muislamu..

Duka hilo linafunguliwa wiki moja mbele tena inawezekana tayar.

Taratibu mnakuja kuwaelewa Iran..
Vipi lakini mkuu, taarifa za kuwa sababu za kupiga ban pombe ikikua ni juu ya "mwanamfalme mmoja alilewa na kuuwa mtu" je hii taarifa unakubaliana nayo? Kuwa ndo sababu ya kupiga ban pombe pale saudia?
 
Kwamba Mfalme wa Saudi aliyekuletea hiyo dini siyo Mwislam ila wewe mkazi wa Kingugi ndo Mwislam!??? Tafuta dini yako, waache wenye dini yao wafanye watakacho.
Pale mtu mweusi anajidai anajua uislam zaidi kuliko mwarabu ambae kila mwaka wanaenda nchi kwako kuhiji na kumpiga mawe shetani
 
Duka la kwanza la kuuza Pombe kufunguliwa Saudi Arabia baada ya miaka 70 ya Maisha bila Pombe

Duka hili ni maalum kwa wahamiaji wasio Waislam. Duka hili litakuwa mjini Riyadh.

Source: Jambo TV

===========

Saudi Arabia imesema itafungua duka la pombe kwa wahamiaji maalum wasio Waislamu mjini Riyadh, likiwa ni la kwanza kufunguliwa kwa zaidi ya miaka 70

Wateja wa eneo hilo watakuwa wafanyakazi wa Balozi mbalimbali ambao kwa miaka mingi wameagiza pombe kutoka nje katika vifurushi rasmi vilivyofungwa vinavyojulikana kama mifuko ya kidiplomasia

Taarifa iliyochapishwa kwenye mtandao wa Shirika la Habari la Kimataifa la Uingereza (BBC) leo, Alhamisi Januari 25.2024 imeeleza kuwa Serikali ya Saudi Arabia imesema duka hilo litakabiliana na 'biashara haramu ya pombe' inayotajwa kushamiri kwa sasa Nchini humo

Marufuku ya kuuza pombe imekuwa sheria tangu 1952 baada ya mmoja wa watoto wa kiume wa Mfalme Abdulaziz ambaye alikuwa amekunywa hadi kulewa kumuua kwa kumpiga risasi Mwanadiplomasia wa Uingereza wakati huo

Kulingana na waraka ulioonekana na Mashirika ya Habari ya Kimataifa ya AFP na Reuters kwa nyakati tofauti wametoa taarifa kuwa Duka hilo jipya litakuwa katika eneo linalopendwa sana na wanadiplomasia hao Magharibi mwa katikati ya jiji

Watumiaji wataruhusiwa kunywa ‘pointi’ 240 za pombe kwa mwezi ambapo lita moja ya vinywaji vikali itakuwa na thamani ya pointi sita, lita moja ya divai pointi tatu na lita moja ya bia pointi moj

Pia hakuna mapendekezo kwamba wateja wataongezwa na kuorodhesha wageni 'wa kawaida'

Chini ya sheria ya sasa ya Saudia, adhabu za unywaji pombe zinaweza kujumuisha faini, kifungo cha jela, kuchapwa viboko hadharani na kufukuzwa nchini kwa wageni ambao hawajaidhinishwa.

Hati hiyo pia ilisema mamlaka inapanga mfumo mpya wa udhibiti ambao pia utaruhusu kiasi maalum cha pombe kuletwa na wanadiplomasia ili kukomesha ubadilishanaji usiodhibitiwa wa bidhaa kama hizo

Kwa miaka mingi wafanyakazi wa kidiplomasia wamelazimika kutumia "pochi" zao, ambazo haziwezi kuingiliwa na mamlaka katika nchi mwenyeji, kuleta kiasi kidogo cha pombe

Credit: Jambo Tv
Uzuri kitimoto inapatikana kule Kitambo. Kuwait wao wanafuga kabisa
 
Siku si nyingi tutakuja kusikia "mgahawa wa kwanza kufunguliwa kwa uuzaji wa kitimoto ila kwa ajili ya wageni wasio waislamu "
Kitimoto imapatikana kitambo sana, bia mdiyo ilikuwa inakosekana. Naona 'Diplomats' watakuwa walilalamika kuwa ile kitu bila alcohol ni sawa na kufanya mapenzi kinguonguo tu.
 
Pale mtu mweusi anajidai anajua uislam zaidi kuliko mwarabu ambae kila mwaka wanaenda nchi kwako kuhiji na kumpiga mawe shetani
Mashetani tunaona hata humu JF.
Na tunayapiga mawe kila siku.
Muulize mama MK254 na Mlaleo na kina mama wengine humu waliokosa bahati ya kuolewa.
Mawe tunayowapiga km ni mbegu saa hii wameshajifungua loooong time.
 
Duka la kwanza la kuuza Pombe kufunguliwa Saudi Arabia baada ya miaka 70 ya Maisha bila Pombe

Duka hili ni maalum kwa wahamiaji wasio Waislam. Duka hili litakuwa mjini Riyadh.

Source: Jambo TV

===========

Saudi Arabia imesema itafungua duka la pombe kwa wahamiaji maalum wasio Waislamu mjini Riyadh, likiwa ni la kwanza kufunguliwa kwa zaidi ya miaka 70

Wateja wa eneo hilo watakuwa wafanyakazi wa Balozi mbalimbali ambao kwa miaka mingi wameagiza pombe kutoka nje katika vifurushi rasmi vilivyofungwa vinavyojulikana kama mifuko ya kidiplomasia

Taarifa iliyochapishwa kwenye mtandao wa Shirika la Habari la Kimataifa la Uingereza (BBC) leo, Alhamisi Januari 25.2024 imeeleza kuwa Serikali ya Saudi Arabia imesema duka hilo litakabiliana na 'biashara haramu ya pombe' inayotajwa kushamiri kwa sasa Nchini humo

Marufuku ya kuuza pombe imekuwa sheria tangu 1952 baada ya mmoja wa watoto wa kiume wa Mfalme Abdulaziz ambaye alikuwa amekunywa hadi kulewa kumuua kwa kumpiga risasi Mwanadiplomasia wa Uingereza wakati huo

Kulingana na waraka ulioonekana na Mashirika ya Habari ya Kimataifa ya AFP na Reuters kwa nyakati tofauti wametoa taarifa kuwa Duka hilo jipya litakuwa katika eneo linalopendwa sana na wanadiplomasia hao Magharibi mwa katikati ya jiji

Watumiaji wataruhusiwa kunywa ‘pointi’ 240 za pombe kwa mwezi ambapo lita moja ya vinywaji vikali itakuwa na thamani ya pointi sita, lita moja ya divai pointi tatu na lita moja ya bia pointi moj

Pia hakuna mapendekezo kwamba wateja wataongezwa na kuorodhesha wageni 'wa kawaida'

Chini ya sheria ya sasa ya Saudia, adhabu za unywaji pombe zinaweza kujumuisha faini, kifungo cha jela, kuchapwa viboko hadharani na kufukuzwa nchini kwa wageni ambao hawajaidhinishwa.

Hati hiyo pia ilisema mamlaka inapanga mfumo mpya wa udhibiti ambao pia utaruhusu kiasi maalum cha pombe kuletwa na wanadiplomasia ili kukomesha ubadilishanaji usiodhibitiwa wa bidhaa kama hizo

Kwa miaka mingi wafanyakazi wa kidiplomasia wamelazimika kutumia "pochi" zao, ambazo haziwezi kuingiliwa na mamlaka katika nchi mwenyeji, kuleta kiasi kidogo cha pombe

Credit: Jambo Tv
Mbona wamechelewa sana, ma festival yote na madisko yaliyofunguliwa unataka kunambia hawalewi?
 
Pombe ya peponi kama energy ya duniani tu haileweshi wala haitoi akili
Kafiri anaekunywa mikojo ya firaun kanisani hiki unachosema hapa hawezi kukielewa hata siku moja
Hao wakishakunywa ile damu ya yesu kinachofuata hapo ni zinaa tu.

Ukitaka ushahidi tembelea zile Guest house karibu na makanisani pale Magomeni.
Jumapili baada ya MISA zote zimejaa .
 
Walivyo wajinga na wapuuzi watakuambia eti ya huko ukinywa unalewa tofauti na ukilewa duniani,pia bikra za huko ukitomba inarudi upya[emoji28][emoji28][emoji28],mpumbafu tu ndie anayeweza kuamini aina hii ya dini.
Achana na huko akhera
We unataka kunambia Bikra ya mkerewe km wewe na Bikra ya mwarabu ni sawa?

We kabla hujaguswa unanuka dagaa kama kiwanda cha furu.
Perfume hujui hata inauzwa wapi.
[emoji1787][emoji1787]
 
Kafiri anaekunywa mikojo ya firaun kanisani hiki unachosema hapa hawezi kukielewa hata siku moja
Hao wakishakunywa ile damu ya yesu kinachofuata hapo ni zinaa tu.

Ukitaka ushahidi tembelea zile Guest house karibu na makanisani pale Magomeni.
Jumapili baada ya MISA zote zimejaa .
Heheeeeee 🤣🤣🤣
Wagalatia wana shida sanaaaaaaaa
 
Kwamba Mfalme wa Saudi aliyekuletea hiyo dini siyo Mwislam ila wewe mkazi wa Kingugi ndo Mwislam!??? Tafuta dini yako, waache wenye dini yao wafanye watakacho.
Uislam sio dini ya kikundi kama UKRISTO.
PAPA ameamua KUUKUBALI USHOGA na nyie wagalatia wa Africa mnabeba mazima.

Sisi waislamu Hakuna anaewakilisha DINI hii hapa Duniani zaidi ya Quraan.

Ndio maana kila mara Bakwata wakileta ujinga wanakosolewa.

Sio nyinyi mnaambiwa " inama tukuombee" mkaitikia tu. " sawa baba mchungaji ".
 
Back
Top Bottom