Duka la Kwanza la Pombe kufunguliwa Saudi Arabia

Nchi ya mtume ni Hijjaz yaani Makkah na Madina.

Huko Riyadh panaitwa Najd, siyo nchi makazi ya mtume!. Kama watu wa Najd wanataka kufanya mambo yao wafanye tu lakini uchafu huo kamwe hautotia mguu Makkah na Madina!.

Nasikia huko Najd siku hizi wamefungulia maconcert, disco mtindo mzima.
Ufalme wa Saudia unaipenda dunia,wacha waitafute na wataipata!

Wapo duniani unataka wafanyeje mana hata huko pepi ya ala kuna madanguro na mito ya pombe,kwanini mpaka usubiri kufa.
 
Nchi ya mtume ni Hijjaz yaani Makkah na Madina.

Huko Riyadh panaitwa Najd, siyo nchi makazi ya mtume!. Kama watu wa Najd wanataka kufanya mambo yao wafanye tu lakini uchafu huo kamwe hautotia mguu Makkah na Madina!.

Nasikia huko Najd siku hizi wamefungulia maconcert, disco mtindo mzima.
Ufalme wa Saudia unaipenda dunia,wacha waitafute na wataipata!

Kwani wewe huipendi dunia?
 
Wao uovu ni pombe mbona mchezo wa sodomy ndiyo kwao, hiyo siyo dhambi....
 
Tuliwahi kuwaambia hapa watawala wa Saudia haswa mwanamfalme sio muislamu kabisa....Watu watabisha waislamu na viongozi wana uongozi wao chini ya msikitini wa Mecca.

Tangu huyo jamaa ammalize yule jamal khashongy kwa ukatili ,ni dhahiri sio muislamu.... Ushirikiano na Isral $USA sio muislamu..

Duka hilo linafunguliwa wiki moja mbele tena inawezekana tayar.

Taratibu mnakuja kuwaelewa Iran..
Kwamba Mfalme wa Saudi aliyekuletea hiyo dini siyo Mwislam ila wewe mkazi wa Kingugi ndo Mwislam!??? Tafuta dini yako, waache wenye dini yao wafanye watakacho.
 
Nchi ya mtume ni Hijjaz yaani Makkah na Madina.

Huko Riyadh panaitwa Najd, siyo nchi makazi ya mtume!. Kama watu wa Najd wanataka kufanya mambo yao wafanye tu lakini uchafu huo kamwe hautotia mguu Makkah na Madina!.

Nasikia huko Najd siku hizi wamefungulia maconcert, disco mtindo mzima.
Ufalme wa Saudia unaipenda dunia,wacha waitafute na wataipata!
Hahahahahah unajitekenya na kucheka mwenyewe! Kwani huyo mfalme si ndo mfalme wa nchi nzima hadi huko Makka? Sasa kama sehemu ya nchi inafanya maovu si nchi nzima inakuwa najisi?
 
Kwamba Mfalme wa Saudi aliyekuletea hiyo dini siyo Mwislam ila wewe mkazi wa Kingugi ndo Mwislam!??? Tafuta dini yako, waache wenye dini yao wafanye watakacho.
Mtume Muhamad hajawahi kuwa mfalme wa saudi na dini ilikuwepo tangu enzi za Adam..Mtume mwenyewe kapata ukinzani hapo saudi kweny Uongozi ila mfalme yule alimpokea ...Mtume alishakimbia hata mji wa mecca kwenda Madinnah kutokana na njama mbaya ....Mtume yeye kaelezwa kuhusu msikitini ule ili aende sio mawazo yake kutoka kichwani ila ni Ujumbe kashushiwa...

Saudia ni nchi kama nyingine kama haujui 😆😆sasa na Vatican ilikuwa ndani ya italy ikajitenga ...Mji wa Mecca ni sehemu ya saudi kweny kaabah sio saudia yote ..
 
Kwamba Mfalme wa Saudi aliyekuletea hiyo dini siyo Mwislam ila wewe mkazi wa Kingugi ndo Mwislam!??? Tafuta dini yako, waache wenye dini yao wafanye watakacho.
Mbona dogo unapiga kelele point sioni😆😆....Nalitaka kukuelewesha tu..
 
Mtume Muhamad hajawahi kuwa mfalme wa saudi na dini ilikuwepo tangu enzi za Adam..Mtume mwenyewe kapata ukinzani hapo saudi kweny Uongozi ila mfalme yule alimpokea ...Mtume alishakimbia hata mji wa mecca kwenda Madinnah kutokana na njama mbaya ....Mtume yeye kaelezwa kuhusu msikitini ule ili aende sio mawazo yake kutoka kichwani ila ni Ujumbe kashushiwa...

Saudia ni nchi kama nyingine kama haujui [emoji38][emoji38]sasa na Vatican ilikuwa ndani ya italy ikajitenga ...Mji wa Mecca ni sehemu ya saudi kweny kaabah sio saudia yote ..
Na vipi Pombe iwe haramu wakati kwenye kitabu kitakatifu mmeahidiwa kukuta mito ya pombe peponi!? Inamaana mmeahidiwa kitu haramu kama malipo ya utakatifu wenu!!!?? Niweke sawa hapo....
 
Nchi ya mtume ni Hijjaz yaani Makkah na Madina.

Huko Riyadh panaitwa Najd, siyo nchi makazi ya mtume!. Kama watu wa Najd wanataka kufanya mambo yao wafanye tu lakini uchafu huo kamwe hautotia mguu Makkah na Madina!.

Nasikia huko Najd siku hizi wamefungulia maconcert, disco mtindo mzima.
Ufalme wa Saudia unaipenda dunia,wacha waitafute na wataipata!
Mkuu nakusikitikia sana bado unaamini katika hizi dini za wazungu na waarabu utapata sonona kubwa sana mbeleni.
 
Halafu Mimi nilijua kuwa pombe imezuiliwa Saudia kwa sababu za kidini kumbe baada ya Mwana Mfalme kulewa na kumpiga risasi mwana ubalozi. Haya wale wailsam wa misimamo mikali wakiongozwa na ndugu yangu wa umachame kimsboy mje hapa.
 
Kwamba Mfalme wa Saudi aliyekuletea hiyo dini siyo Mwislam ila wewe mkazi wa Kingugi ndo Mwislam!??? Tafuta dini yako, waache wenye dini yao wafanye watakacho.
Muda si mrefu watapigwa na kitu kizito kichwani hawataamini macho yao.
 
Mtume Muhamad hajawahi kuwa mfalme wa saudi na dini ilikuwepo tangu enzi za Adam..Mtume mwenyewe kapata ukinzani hapo saudi kweny Uongozi ila mfalme yule alimpokea ...Mtume alishakimbia hata mji wa mecca kwenda Madinnah kutokana na njama mbaya ....Mtume yeye kaelezwa kuhusu msikitini ule ili aende sio mawazo yake kutoka kichwani ila ni Ujumbe kashushiwa...

Saudia ni nchi kama nyingine kama haujui [emoji38][emoji38]sasa na Vatican ilikuwa ndani ya italy ikajitenga ...Mji wa Mecca ni sehemu ya saudi kweny kaabah sio saudia yote ..
Nani custodian wa Makha na Medina kwa sasa kama sio huo Ufalme wa Saudia.
 
Duka la kwanza la kuuza Pombe kufunguliwa Saudi Arabia baada ya miaka 70 ya Maisha bila Pombe

Duka hili ni maalum kwa wahamiaji wasio Waislam. Duka hili litakuwa mjini Riyadh.

Source: Jambo TV

===========

Saudi Arabia imesema itafungua duka la pombe kwa wahamiaji maalum wasio Waislamu mjini Riyadh, likiwa ni la kwanza kufunguliwa kwa zaidi ya miaka 70

Wateja wa eneo hilo watakuwa wafanyakazi wa Balozi mbalimbali ambao kwa miaka mingi wameagiza pombe kutoka nje katika vifurushi rasmi vilivyofungwa vinavyojulikana kama mifuko ya kidiplomasia

Taarifa iliyochapishwa kwenye mtandao wa Shirika la Habari la Kimataifa la Uingereza (BBC) leo, Alhamisi Januari 25.2024 imeeleza kuwa Serikali ya Saudi Arabia imesema duka hilo litakabiliana na 'biashara haramu ya pombe' inayotajwa kushamiri kwa sasa Nchini humo

Marufuku ya kuuza pombe imekuwa sheria tangu 1952 baada ya mmoja wa watoto wa kiume wa Mfalme Abdulaziz ambaye alikuwa amekunywa hadi kulewa kumuua kwa kumpiga risasi Mwanadiplomasia wa Uingereza wakati huo

Kulingana na waraka ulioonekana na Mashirika ya Habari ya Kimataifa ya AFP na Reuters kwa nyakati tofauti wametoa taarifa kuwa Duka hilo jipya litakuwa katika eneo linalopendwa sana na wanadiplomasia hao Magharibi mwa katikati ya jiji

Watumiaji wataruhusiwa kunywa ‘pointi’ 240 za pombe kwa mwezi ambapo lita moja ya vinywaji vikali itakuwa na thamani ya pointi sita, lita moja ya divai pointi tatu na lita moja ya bia pointi moj

Pia hakuna mapendekezo kwamba wateja wataongezwa na kuorodhesha wageni 'wa kawaida'

Chini ya sheria ya sasa ya Saudia, adhabu za unywaji pombe zinaweza kujumuisha faini, kifungo cha jela, kuchapwa viboko hadharani na kufukuzwa nchini kwa wageni ambao hawajaidhinishwa.

Hati hiyo pia ilisema mamlaka inapanga mfumo mpya wa udhibiti ambao pia utaruhusu kiasi maalum cha pombe kuletwa na wanadiplomasia ili kukomesha ubadilishanaji usiodhibitiwa wa bidhaa kama hizo

Kwa miaka mingi wafanyakazi wa kidiplomasia wamelazimika kutumia "pochi" zao, ambazo haziwezi kuingiliwa na mamlaka katika nchi mwenyeji, kuleta kiasi kidogo cha pombe

Credit: Jambo Tv
Wameanza kulegeza taratibu ila mbeleni watafungua mlango kabisa .
 
Back
Top Bottom