Duka la Kwanza la Pombe kufunguliwa Saudi Arabia

Duka la Kwanza la Pombe kufunguliwa Saudi Arabia

Mkuu, hakuna ukoo unaotawala miji ya Wakristo
Saudia ule ukoo ukiamua kufunga misikiti hakuna wa kuwazuia, Saudia iliitwa ardhi takatifu. Akaruhusu music festival, watu wa huko Banban, Riyadh, wakawa wa kwanza kuja ma kitu kinaitwa Soundtstorm , watu wanaruka debe huku wakipiga 'ze laga'. Kumbuka Riyadh ni kilometa 910 mpaka Jeddah ambapo ndipo ulipo Masjid Al Haram, Msikiti mkubwa kuliko yote duniani, pia Riyadhi ni karibu zaidi ma Madina kuliko Jeddah.

Kuona hivyo watu wa Jeddah nao wakaona haiwezekani, wasitutanie yaani sisi tusafiri kilometa 910 hadi Riyadh kufuata Music Festivel? Kisa nini? Au kwa kuwa wao ni mji mkuu? Jeddah nao wakaanzisha Music Festivel yao itakayofanyika Al Balad, just Km 60+ kutoka Masjid Al Haram ni vizuri ikawahi ticket mapema, maana zimeshaanza kuuzwa na zinagombewa sana.

Watu wa Madina na wao wakaona haiwezekani, wa wameanza kuwaandaa wakaazi wake kwa big events, sasa hivi tayari kuna maeneo kadhaa ndani ya Madina ambapo wakaazi huenda kusikiliza Muziki live kutoka kwa wanamuziki mbalimbali duniani ambao hualikwa kutumbuiza. Kumbuka Madina ndipo ulipo Msikiti wa pili kwa ukubwa duniani wa Al-Masjid an-Nabawi, ambapo watu pia huenda kuhiji. Madina sasa hivi wanajiandaa kuanzisha International music festivals kama za Riyadhi na Jeddah.

Labda watu watasusa kwenda Mecca na Jeddah halafu watahamia mji wa Mashhad ulipo Msikiti wa Imam Reza shrine, huko nchini Iran, maana Al Aqsa hapaingiliki tena kwa sasa.

Pia, pale Iran ni Ayatollah's ndiyo wanaupa nguvu na visibility uislam pale Iran, bila Ayatollah Uislam haupo pale. Wakipinduliwa Ayatollah kila kitu kitabadilika na itabiki story. Iran na Saudia ni tofauti na Somalia, na Yemen ambapo ndiyo penye Uislam kweli, hapategemei ukoo au kikundi cha watu fulani.
Sasa unaandika mambo mengi ila hamna point ...Unasema wafunge misikiti waambie wajaribu...Huo ukoo wangebadilisha Qur an kwanza mda sio rahisi..

Hapo Israel hata kutangaza dini ya papa ni kosa ila uliksia wapi dini ya paoa imekufa ,hapo Israel ndio yesu katokea.

Nchi ile mtume hakuwa kiongozi pale ila baadae waliingia kweny sheria za kiislamu ...
 
Saudi Arabia imesema itafungua duka la pombe kwa wahamiaji maalum wasio Waislamu mjini Riyadh, likiwa ni la kwanza kufunguliwa kwa zaidi ya miaka 70

Wateja wa eneo hilo watakuwa wafanyakazi wa Balozi mbalimbali ambao kwa miaka mingi wameagiza pombe kutoka nje katika vifurushi rasmi vilivyofungwa vinavyojulikana kama mifuko ya kidiplomasia

Taarifa iliyochapishwa kwenye mtandao wa Shirika la Habari la Kimataifa la Uingereza (BBC) leo, Alhamisi Januari 25.2024 imeeleza kuwa Serikali ya Saudi Arabia imesema duka hilo litakabiliana na 'biashara haramu ya pombe' inayotajwa kushamiri kwa sasa Nchini humo
Sheikh Kipozeo alishasema kuna kugida pombe kwa wingi akhera inakuwaje Saudi walizuia watu kufanya mazoezi
 
Pombe ni Alcohol.
Na Alcohol yyt ukiendelea kunywa kuna kipindi LAZIMA ULEWE . NA KULEWA MAANA YAKE KUVURUGA TARATIBU ZA UBONGO kwenye kufanya maamuzi ya kawaida.
Ndo maana walevi wanajikojolea mpk kujinyea

Pombe waliohidiwa WAUMINI sio ya kuvuruga ubongo bali ni Starehe ya kipekee.
Huwezi kuijua mpk uionje.
Na hakuna atakaeionja mpk afe hali ya kuwa Anaabudu MUNGU MMOJA TU.

sio wale wanaoabudu sanamu la mzungu.
Pombe waliohidiwa WAUMINI sio ya kuvuruga ubongo bali ni Starehe ya kipekee.
Huwezi kuijua mpk uionje.
Na hakuna atakaeionja mpk afe hali ya kuwa Anaabudu MUNGU MMOJA TU.
Hapo mkuu sijaelewa
 
Kwamba Mfalme wa Saudi aliyekuletea hiyo dini siyo Mwislam ila wewe mkazi wa Kingugi ndo Mwislam!??? Tafuta dini yako, waache wenye dini yao wafanye watakacho.

Shangaa na wewe Mfalme anayeijenga Makka na kuikarabati amekuwa sio muislamu.

Mfalme anaeilinda Makka na Madina amekuwa sio muislam
 
Sasa unaandika mambo mengi ila hamna point ...Unasema wafunge misikiti waambie wajaribu...Huo ukoo wangebadilisha Qur an kwanza mda sio rahisi..

Hapo Israel hata kutangaza dini ya papa ni kosa ila uliksia wapi dini ya paoa imekufa ,hapo Israel ndio yesu katokea.

Nchi ile mtume hakuwa kiongozi pale ila baadae waliingia kweny sheria za kiislamu ...
Points unazo wewe, mimi sina mpango wa kuandika points, ili mradi umesoma kama ni kuelewa utaelewa baadaye na kisirisiri.
Kwamba hawana ubavu, wewe una uwezo wa kuwafanya nini Wakati nchi ni yao? maana mabadiliko ndiyo hayo yanazidi kutokea na wameshaapa kuibadilisha mazima kwa faida yao na nchi yao ili na wao wawe kama Ulaya au Marekani.
Yaani waache kufanya mambo yao kwa ajili yenu. Wakati ninyi mnawaona kama Mlango wa Mbinguni, wao wanawachukulia kama watalii.

Sasa hivi wameamua kutanua sekta yao ya utalii wao, baada ya kufanikiwa kuwakamata vizuri watalii wa Imani, sasa wanaenda kuwakama watalii wengine kama hao wa Disco, filam n.k kwa kuruhusu wafanye matamasha yao na kila watumiacho kiwe kinapatikana.

Hayo mengine uliyoyaandika ni kurukala kwaachaa tu.
 
Sijasoma maana unaandika magazeti wala sisomi maana hamna cha maan.

Huyo mwana wa mfalme kammaliza jamal khashongy huo ni udhalimu kwa vile anashirikiana na Marekani...Uliona wapi walipambana na israel tumia hata akili basi... Uongozi wa saudi wa sasa na Mareka & Israel ni kitu kimoja...
 
Sasa kama haujasoma unajibu kipi? Wapi nimeandika habari za Kashogy, ama kweli hsujasoma, sasa si ni bora usijibu kuliko kujibu vitu ambavyo siyo relatable? Au unakimbizana ma bundle isije ika expire bila kutumika?
 
Unaandika utumbo ... Huwezi kuandika gazeti ina maana hauna uhakika na unachoandika.

Siwezi kusoma upumbavu.!
 
Unaandika utumbo ... Huwezi kuandika gazeti ina maana hauna uhakika na unachoandika.

Siwezi kusoma upumbavu.!
Umajifunua tu akili zako. Sasa ni kipi ulichokuwa unakijibu kwa kutolea mifano wakati hata kusoma haujasoma?
 
Sasa unaandika mambo kibao ya uongo. Hamna unachojua .

Tafuta kazi ya kufanya.!
Uongo upi wakati unasema haujasoma? Kumbe ukiona umezidiwa unaamua kudanganya huku ukimshambulia mleta hoja.
Wahi Kukata Tiketi ya Tamasha la Muziki Jeddah, mwaka huu tukimaliza kuhiji yunaunganisha kwenye Festival hapohapo, hakuna haja ya kwenda Riyadhi
 
Nan kazidiwa ? Soma ulivyoanza ni ujinga hata hamna unachojua .....Kwani hilo Tamasha limeanza leo? Wakati saudi wanasherekea sikukuu ya mashetani maarufa kama Halloween 🎃..

😅😅😅Kifupi hauna kipya dogo!
 
Swala siyo kianza, swala mi uwepo na kuzidi kuenea. Kikubwa ni kwamba kumbe ukizidiwa upo tayari kudanganya. Bora uwe unakimbia kuliko kuanza kudanganya.
 
Swala siyo kianza, swala mi uwepo na kuzidi kuenea. Kikubwa ni kwamba kumbe ukizidiwa upo tayari kudanganya. Bora uwe unakimbia kuliko kuanza kudanganya.
Ndio sio leo wala jana ,hakuna muislamu asiyejua 😅😅😅sema kama hilo Tamasha lipo Msikiti wa Makkah...Saudia wote sio waislamu.
 
Ndio sio leo wala jana ,hakuna muislamu asiyejua 😅😅😅sema kama hilo Tamasha lipo Msikiti wa Makkah...Saudia wote sio waislamu.
Ngoja nikuache upumzike kidogo, si bizuri kuwachosha sana Wagosi😃
 
Pornstars wanapishana Saudi airport kupeleka huduma.
 
Back
Top Bottom