kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 19,173
- 11,625
Teh teh tehWewe ulienda lini peponi ukaonja hiyo pombe?
Unauliza swali kigalatiagalatia
Imebidi nicheke tu.
[emoji1787][emoji1787]
Teh teh tehWewe ulienda lini peponi ukaonja hiyo pombe?
Ndio nani huyo lusekelo? , kuna watu wanaafya mbovu na hawanywi pombe,Mchungaji Lusekelo: Pombe siyo Dhambi ila Pombe ni mlango wa Shetani
Inalillah wainailaih rajiuunMchungaji Lusekelo: Pombe siyo Dhambi ila Pombe ni mlango wa Shetani
Duka la kwanza la kuuza Pombe kufunguliwa Saudi Arabia baada ya miaka 70 ya Maisha bila Pombe
Duka hili ni maalum kwa wahamiaji wasio Waislam. Duka hili litakuwa mjini Riyadh.
Source: Jambo TV
===========
Saudi Arabia imesema itafungua duka la pombe kwa wahamiaji maalum wasio Waislamu mjini Riyadh, likiwa ni la kwanza kufunguliwa kwa zaidi ya miaka 70
Wateja wa eneo hilo watakuwa wafanyakazi wa Balozi mbalimbali ambao kwa miaka mingi wameagiza pombe kutoka nje katika vifurushi rasmi vilivyofungwa vinavyojulikana kama mifuko ya kidiplomasia
Taarifa iliyochapishwa kwenye mtandao wa Shirika la Habari la Kimataifa la Uingereza (BBC) leo, Alhamisi Januari 25.2024 imeeleza kuwa Serikali ya Saudi Arabia imesema duka hilo litakabiliana na 'biashara haramu ya pombe' inayotajwa kushamiri kwa sasa Nchini humo
Marufuku ya kuuza pombe imekuwa sheria tangu 1952 baada ya mmoja wa watoto wa kiume wa Mfalme Abdulaziz ambaye alikuwa amekunywa hadi kulewa kumuua kwa kumpiga risasi Mwanadiplomasia wa Uingereza wakati huo
Kulingana na waraka ulioonekana na Mashirika ya Habari ya Kimataifa ya AFP na Reuters kwa nyakati tofauti wametoa taarifa kuwa Duka hilo jipya litakuwa katika eneo linalopendwa sana na wanadiplomasia hao Magharibi mwa katikati ya jiji
Watumiaji wataruhusiwa kunywa ‘pointi’ 240 za pombe kwa mwezi ambapo lita moja ya vinywaji vikali itakuwa na thamani ya pointi sita, lita moja ya divai pointi tatu na lita moja ya bia pointi moj
Pia hakuna mapendekezo kwamba wateja wataongezwa na kuorodhesha wageni 'wa kawaida'
Chini ya sheria ya sasa ya Saudia, adhabu za unywaji pombe zinaweza kujumuisha faini, kifungo cha jela, kuchapwa viboko hadharani na kufukuzwa nchini kwa wageni ambao hawajaidhinishwa.
Hati hiyo pia ilisema mamlaka inapanga mfumo mpya wa udhibiti ambao pia utaruhusu kiasi maalum cha pombe kuletwa na wanadiplomasia ili kukomesha ubadilishanaji usiodhibitiwa wa bidhaa kama hizo
Kwa miaka mingi wafanyakazi wa kidiplomasia wamelazimika kutumia "pochi" zao, ambazo haziwezi kuingiliwa na mamlaka katika nchi mwenyeji, kuleta kiasi kidogo cha pombe
Credit: Jambo Tv
Bora nimekutana na mtu anaefahamu Aramco humu.Kwa sisi tuliowahi kufanya kazi ARAMCO miaka ya 90 , kulikuwa na Pub kabisa
Na hivi jina langu lilikuwa la kiasili, Atupakisye
walishindwa kunidhibiti, ilikuwa ni kugida tu
Sasa nani mnafiki hapa.Mngekuwa mnaipigania nchi yenu kama mnavyopigania Makkah na Madina saa hizi mngekuwa mbali, acheni unafiki taratibu tu tutaelewana hakuna mtu asiyetenda dhambi dunia hii, tofauti ya wazungu na waarabu ni unafiki wazungu wanafanya hadharani huku waarabu wanafanya mafichoni ila kufanya wote wanafanya tu
Sasa wagalatia akili zao wanadhani waarabu ni watu safi kabisa . Hawanywi pombe wala kwao hakuna pombe.wameona wanapigwa bao !! Raia wake weekend wanaopenda starehe huwa wanavuka kwenda bahrain huko hamna hayo mazuio
Unaweza weka source mkuu,Sio kweli kabisa.
Na bila kuuliza swali km hili ulitakiwa kushirikisha kichwa tu kufikiri.
Hata HITLER hakuweza kubadili sheria kutokana na matakwa yake na familia yake binafsi.
SIKILIZA HIYOWe huna habari Sodomy imeruhusiwa na PAPA WA VATICAN RASMI?
![]()
Pope approves blessings for same-sex couples that must not resemble marriage
Pope Francis formally approved letting Catholic priests bless same-sex couples, the Vatican announced Monday.apnews.com
Tuliwahi kuwaambia hapa watawala wa Saudia haswa mwanamfalme sio muislamu kabisa....Watu watabisha waislamu na viongozi wana uongozi wao chini ya msikitini wa Mecca.
Tangu huyo jamaa ammalize yule jamal khashongy kwa ukatili ,ni dhahiri sio muislamu.... Ushirikiano na Isral $USA sio muislamu..
Duka hilo linafunguliwa wiki moja mbele tena inawezekana tayar.
Taratibu mnakuja kuwaelewa Iran..
Kumbe!There are no credible historical sources or evidence to support the claim that King Abdulaziz of Saudi Arabia killed a United Kingdom ambassador due to the influence of alcohol, and that this incident was the reason for the prohibition of alcohol in Saudi Arabia since 1952.
The prohibition of alcohol in Saudi Arabia has historically been associated with Islamic principles and the implementation of Sharia law rather than with a specific incident involving a foreign ambassador. The decision to ban alcohol consumption in the kingdom is firmly rooted in religious and cultural values that have shaped Saudi society for centuries.
It's important to remember that historical narratives can often be shaped by rumors, myths, and inaccuracies. When examining historical events, it's crucial to rely on credible sources and scholarly research to ensure accuracy and avoid spreading misinformation.
If there are other aspects of Saudi Arabia's history or the prohibition of alcohol in the country that you would like to explore, please feel free to ask, and I'd be happy to provide information based on reliable sources.
CC artificial Inteligent
Wale waliokuwa wakienda kwenye Festibals walikua wakienda nazo, sasa hivi watakuwa wanazikuta kulekuleMbona wamechelewa sana, ma festival yote na madisko yaliyofunguliwa unataka kunambia hawalewi?
Si ndio yenu haya, pombe na ngono hadi peponi...yaani hehehe
View: https://twitter.com/i/status/1613597918371483648
Mkuu, hao wenye hiyo familia ndiyo wenye Uislam wao na ndiyo wanaoulinda uislam. Wakiamua kubadilisha matumizi ya miji na misikiti ya Macca na Madina hakuna wa kuwapinga. Wakiamia wakae na China ili China atenge miji miwili halafu waijenge kama Mecca na Madima huko China ili muwe mnaenda kuhiji kule ili yeye abadili matumizi ya Mecca na Madina yake, wote mtaenda kuhiji China mkiwa mmepanda ndege moja mkiongozana na wanaoenda kurekebisha maumbo na wanunuzi wa sehemu za siri bandia na sex toys.Tuliwahi kuwaambia hapa watawala wa Saudia haswa mwanamfalme sio muislamu kabisa....Watu watabisha waislamu na viongozi wana uongozi wao chini ya msikitini wa Mecca.
Tangu huyo jamaa ammalize yule jamal khashongy kwa ukatili ,ni dhahiri sio muislamu.... Ushirikiano na Isral $USA sio muislamu..
Duka hilo linafunguliwa wiki moja mbele tena inawezekana tayar.
Taratibu mnakuja kuwaelewa Iran..
Sio kweli 🤣🤣🤣Mtume hakutokana na ukoo huo...Hao ni watawala hata ukisoma utajua neno saudi ni jina fulani limetokana na kitu fulani...Rudi kasome.Mkuu, hao wenye hiyo familia ndiyo wenye Uislam wao na ndiyo wanaoulinda uislam. Wakiamua kubadilisha matumizi ya miji na misikiti ya Macca na Madina hakuna wa kuwapinga. Wakiamia wakae na China ili China atenge miji miwili halafu waijenge kama Mecca na Madima huko China ili muwe mnaenda kuhiji kule ili yeye abadili matumizi ya Mecca na Madina yake, wote mtaenda kuhiji China mkiwa mmepanda ndege moja mkiongozana na wanaoenda kurekebisha maumbo na wanunuzi wa sehemu za siri bandia na sex toys.
Iran unayoiongelea wala haipo kwenye Uislam kivile, Uislam wa Iran mmauona ni kwa ajili ya kikundi cha Ayatollah na wenzake, nje ya hapo uislam wa Uturuki ni imara mara 20 kuliko huo wa Iran.
Mkuu, hakuna ukoo unaotawala miji ya WakristoSio kweli 🤣🤣🤣Mtume hakutokana na ukoo huo...Hao ni watawala hata ukisoma utajua neno saudi ni jina fulani limetokana na kitu fulani...Rudi kasome.
Ukristo huyo Yesu alikuwa pale Israel ila mnadai alihukumiwa na mamlaka ya pale...Mtu Muhammad alipokelewa na Kiongozi wa saudi hizo kabla hakuna kina saudia...Mfalme wa pale na uislamu hawana uhusiano wowote wala undungu na Muhamad.....
Hivi maandiko yenu yanawaambia kigezo cha kuenda peponi ni kutenda dhambi mafichoni au kutokutenda dhambi kabisa ni wapi palipoandikwa kuwa, muumba atawaadhibu wale waliotenda dhambi hadharani na kuwaacha waliotenda dhambi mafichoni sikia kwenye dhambi hakuna cha atleast dhambi ni dhambi tu haijalishi inafanywa hadharani au mafichoni, ninyi mnachofanya ni kuficha madhambi yenu kwa wanadamu wenzenu tu ili wawaone watakatifu ila mnasahau kuwa mungu wenu anayaona na yeye ndiye atayewahukumu na siyo hao binadamu wenzenu mnaowanafikia mkuuSasa nani mnafiki hapa.
We unachunguza watu au hao wenye kufanya madhambi yao kimya kimya .?
Hao wazungu unaowasifu leo wanalazimisha NDOA ZA KISHOGA mpk Huku kwetu.
Na Wamemuandama PAPA mpk amekubali NDOA ZIFUNGWE MAKANISA.
Waarabu ni binaadamu kama wewe na mimi. Wamo walevi, wahuni na kila aina ya wafanya dhambi lkn At least WANAJIHIFADHI na hawatangazi machafu yao.
Lkn upande wa makafiri kufanya madhambi HADHARANI ni Kawaida kabisa.
Leo France na Holland watu wanazini mbele ya kadamnasi.
Watoto wa kike wanakaa kwenye fremu za duka UCHI WA MNYAMA wanajiuza.
Hayo ndio unayasifia kuwa sio unafiki?
Waafrika tuna laana ya kuiga na kusifia Ushenzi tu .