Elections 2010 Duh; nini kilitaka kumtokea JK kule Lindi Jukwaani?

Kilichotokea ni hivi, yule mwongozaji wa jopo la majini yanayotoan ulinzi kwa JK yaani Sheikh Yahya alisinzia kidogo akadondosha ile tunguli anayotumia kama remote control kuyapanga majini yake ikadondoka hivyo JK akakosa nguvu ndiyo walinzi wa psu wakachukuwa nafasi.Habari ndiyo hiyo, ngoma ilibuma tena huko mitaa ya huko Lindi.
 
hili jamvi ni watu waliojaa chuki tu, hamna lolote la kuanguka wala kutetereka, ndio maan wengi wamelihama, hamtaki
maendeleo ila uzushi tu

Wengi wamelihama wakina nani? Kama ni hao wakinaGT waache waende kwa mafirauni wenzao; hapa sisi ni wasttarabu!!
 
Hii kitu inaweza kumsaidia na kumaliza matatizo yake.

Kitimoto.jpg

Achanganye na dawa hizi hapa


Kinywaji.jpg
 
Wengi wamelihama wakina nani? Kama ni hao wakinaGT waache waende kwa mafirauni wenzao; hapa sisi ni wasttarabu!!
Hivi GT alihama eti sio? au alibadilisha ID tu na bado yupo hapa hapa. Nani alikwambia JF watu wanahama kirahisi?
 
JK-Lindi+crowd1.jpg


Source: Press Kikwete 2010/ Mtanzania 21 Oct. 2010

JK alikuwa anaenda chini nini, akawahi kushika meza? Ingekuwa Mwananchi kaweka picha hii front page kama alivyofanya Mtanzania ingekuwa ni uchochezi? Ila akifanya Roastam Aziz sio?

Kwa umati huu Mh Slaa hawezi kukanyaga hapa.

Tunashukuru kwa kutuletea uhondo, maana umati huu wengine tusingeuona. Kumbuka Lindi+ Mtwara +Ruvuma + Pwani, mikoa hii Mh Slaa hapati kitu kabisaaaaaaaaaaaaaa!
 
Kila nikiangalia kila siku nywele zake ni nyeusi. Hivi JK hana mvi?

Aah wapi bwana, mbona JK Miji-mvi imejaa kichwa kizima tena hii kampeni ndio either zimekuwa nyingi zaidi au hana taimu ya kupaka kanta, kwa maana mvi zi tele.
 
Dada Subira (kwa mujibu wa jina) ngoja tu baada ya Okt 31 mbona midomo itawafunga watu humu...
Usishangae kuona ukitafuta jf.com ukipelekwa ipp/michuzi blogs. Subiri siku chache sana zimebaki

Mlishikiwa mtutu wa bunduki kujiunga na JF?Dua la kuku halimpati mwewe.JF ilikuwepo kabla hujajiunga Oktoba hii kwa maagizo ya mwajiri wako fisadi.Na JF itaendelea kuwepo hata baada ya kuondoka ninyi mlotumwa kuzuwia wimbi la mabadiliko.

MSHINDWE NA MLEGEE NA USHEIKH YAHYA WENU.MARA ATAKAYEMPINGA KIKWETE ATAKUFA,MATOKEO YAKE SHEIKH YAHYA NDIO KANUSURIKA KUFA.SASA WEWE MNAJIMU WA KUCHONGA UNALETA UTABIRI WAKO WA KILEVI.SHINDWA NA ULEGEE KAMA.SHEIKH YAHYA.
 
Kwa umati huu Mh Slaa hawezi kukanyaga hapa.

Tunashukuru kwa kutuletea uhondo, maana umati huu wengine tusingeuona. Kumbuka Lindi+ Mtwara +Ruvuma + Pwani, mikoa hii Mh Slaa hapati kitu kabisaaaaaaaaaaaaaa!

Shukuru kwa kuwaletea Matamasha ya BUUUURE.... Ndio mikoa Maskini hapa Tanzania ukitoa kiiidogo Songea na ongezea Tabora na Singida... kama unabisha Mwambie mkubwa wako wa kazi JK aende bila WASANIII UCHWARA... UONE... Kama hatabaki mwenyewe? Kwa mara nyingine asante JK kwa Matamasha mikoani...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom