Source: Press Kikwete 2010/ Mtanzania 21 Oct. 2010
JK alikuwa anaenda chini nini, akawahi kushika meza?
Sijaelewa unataka kusema nini hapa!
Sijaelewa unataka kusema nini hapa!
Sijaelewa unataka kusema nini hapa!
Tazama balance ya JK, then askari wake anavyojiandaa na hali inayoelekea kutokea....! Hata na high table walivyoshtuka...!Mzee tupe habari kamili!!! Unatuacha kwenye mataa!!
Source: Press Kikwete 2010/ Mtanzania 21 Oct. 2010
JK alikuwa anaenda chini nini, akawahi kushika meza? Ingekuwa Mwananchi kaweka picha hii front page kama alivyofanya Mtanzania ingekuwa ni uchochezi? Ila akifanya Roastam Aziz sio?
Sijaelewa unataka kusema nini hapa!
Anatumia kalikiti>Kila nikiangalia kila siku nywele zake ni nyeusi. Hivi JK hana mvi?
Mwangalie vizuri body guard wake, halafu na yule jamaa aliye kushoto kwa JK ni kama anataka kuinuka vile na body guard anamwambia tulia, na pia nyuma ya body guard kuna mkono vile vile unamsihi huyo bwana kushoto kwa JK atulie kwani alikwishahisi JK anaelekea chini.
hili jamvi ni watu waliojaa chuki tu, hamna lolote la kuanguka wala kutetereka, ndio maan wengi wamelihama, hamtaki
maendeleo ila uzushi tu
Kila nikiangalia kila siku nywele zake ni nyeusi. Hivi JK hana mvi?