Duh... Netanyahu kayakanyaga aisee!

Duh... Netanyahu kayakanyaga aisee!

🇺🇸🇮🇱⚡️🇮🇷 Iran exposed both Tel Aviv and Washington as weak, loud, and desperately out of breath.

Steve Bannon, Former Trump Adviser: Israel Had No Strength Left to Continue War with Iran

“Yesterday was a very tough day… This ceasefire was more about saving Israel. That’s the hidden part of the story.”

“They got into something beyond their capability. They went so far that they had nothing left in them… Yesterday was truly a terrifying day for the people of Israel.”

“They needed this ceasefire because their defensive munitions were running out, and Trump got involved with Qatar’s help.”
 
Kwenye mchezo wa ndondi, ikitokea upande wa bondia mmoja aliyezidiwa na mashambulizi ya ngumi ukitupa taulo; pigano linasitishwa!
Vivyo hivyo kwenye mieleka! Mpinzani wako akikukaba vizuri chini na kushindwa kujinasua, ukinyoosha tu mkono! Shindano linasitishwa. Maana yake umepigwa.

Jambo hili ndilo lililofanywa na Marekani pamoja na mtoto wake Israel. Kiufupi walivamia mzinga wa nyuki.
👍🤣🤣🤣
 
Lengo lao ilikuwa kuharibu vinu vya nukes vya Iran na wamefanikiwa!

Sasa hapo mshindi ni nani
Hebu soma vizuri hii habari kutoka kwa shirika lenu wenyewe la kijasusi ambalo limekiri kwamba hakuna kinu cha nyuklia kilichoshambuliwa.

Kizuri ni kwamba chanzo cha taarifa hii kimeandikwa na gazeti linalomililiwa na maadui wa Iran, na majasusi wanaosema kuwa vinu havijashambuliwa pia ni hao hao maadui wa Iran. Sasa sijui kati ya majasusi waliokiri kuwa vinu havikushambuliwa na wewe myahudi mweusi wa bonyokwa nani tumuamini hapa!
 
Attachments

  • Screenshot_20250625-084018.jpg
    Screenshot_20250625-084018.jpg
    388.1 KB · Views: 8
  • Screenshot_20250625-084041.jpg
    Screenshot_20250625-084041.jpg
    386.2 KB · Views: 7
Wenye hivyo vinu vyao wamekataa kwa kusema havijaharibiwa! Na hapo tumuamini nani, mmiliki au mvamizi!!
Achana na wenye vinu. Hata shirika la kijajusi la linalomilikiwa na maadui wa Iran limekiri kwamba hakuna kinu kilichoshambuliwa. Pia uzuri wa habari hii ni kwamba imeandikwa na gazeti linalomilikiwa na maadui wa Iran ambalo ni Dutch Welle (DW) , sio aljazira.
 
Attachments

  • Screenshot_20250625-084018.jpg
    Screenshot_20250625-084018.jpg
    388.1 KB · Views: 9
  • Screenshot_20250625-084041.jpg
    Screenshot_20250625-084041.jpg
    386.2 KB · Views: 7

Attachments

  • Screenshot_20250625-084018.jpg
    Screenshot_20250625-084018.jpg
    388.1 KB · Views: 8
  • Screenshot_20250625-084041.jpg
    Screenshot_20250625-084041.jpg
    386.2 KB · Views: 7
Niaje waungwana

Nafikiri mashambulizi ya mwaka jana kati ya Iran na Israel, yalimpofusha sana Netanyahu kwa kuamini kwamba Iran ilikuwa na silaha chache, na dhaifu kwa kuweza kufanya maangamizi katika ardhi ya Israel.

Ikumbukwe kwamba katika mashambulizi yale Iran alitumia makombora ya kawaida na ya masafa mafupi, hivyo hata madhara na uharibifu wake huko Israel haukuwa mkubwa kivile, hali iliyomfanya Netanyahu aamini kwamba Iran haina silaha za maana za kupambana nae, lakini pia aliamini kwamba Iron dome na Thaad zikiongezwa na kurekebishwa vizuri, basi muajemi atachapika vizuri bila kurusha au kuingiza chochote katika ardhi ya Israel.

Masikini, jamaa hakujua kwamba Ayatollah alikuwa anampimia upeo wake wa akili ulipoishia. Akaenda Marekani kuonana na Trump kisha wakapanga namna watakavyoivamia Iran, kutawala anga, na kuzuia kombora kurushwa nchini kwao Israel.

Waswahili wanasema usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Neta akaanza uvamizi kwa mashambulizi ya kushtukiza huku wakiwa wameshajipanga na Marekani, Uingereza, Ujerumani, Ufaransa na washirika wengine kuzuia mashambulizi ya Iran kwenda Israel. Mpaka hapo walikuwa wanajua Iran haina silaha au makombora ya maana ya kupenya ulinzi wao. Kwa bahati mbaya hali ikawa tofauti na walivyotarajia.

Vinu vikaanza kutumwa Israel katika speed na nguvu ya ajabu kiasi ya kwamba Iro dome na Thaad zao zikabaki kama maonesho tu au mavyuma ya kukamatia kumbi kumbi. Iron dome balada ya kuzuia kombora, inazuia nzi na upepo.

Netanyahu akaona maji yamezidi unga, kinachozuiwa hakionekani, akamwambia baba yake Trump aingilie kati. Baba na yeye kuingilia kati kaishia kupiga hewa, huku mzigo ukiwa umeshahamishwa zamani. Baada ya hapo wakafikiri hilo tukio linamfanya muajemi aogope au kusalimu amri, badala yake ikawa kama vile wamempeleka mzaramo mkoleni. Yani ndo amezidisha mashambulizi na kuigeza Tel Aviv kama Mogadishu.

Baada ya plan kushindwa eti wameamua kuomba poo kwa kutaka vita isimame. Muajemi hataki kusikia hilo, bado anaendeleza kipondo tu huko Israel. Japo wao ni mabingwa wa kuficha taarifa, lakini ukiona Trump anakimbilia kutaka mapigano yasitishwe au vita iishe basi ujue ameona madhara makubwa mno yaliofanywa na Iran huko Israel. Maana ni yeye ndio alikuwa anasema eti waachwe waendelee kuchapana. Sasa imekuaje tena kutaka vita isimame. Za kuambiwa changanya na zako.

Vita sio poa. Nina imani Netanyahu anajuta kuanzisha huu mzozo na vita ikisimama naamini hatokuja tena kuigusa Iran kindezi ndezi vile.

Ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo. Fikiria leo hii Trump anapambana ili vita iishe. Ujue kuna jambo kubwa limetokea huko Israel halitakiwi kusemwa 🤣🤣🤣
On top of that; vyanzo vitatu vya kijasusi vya Marekani vimekiri Trump hakufanikiwa adhima yake ya kuangamiza kabisa kabisa vyanzo vya nuclear vya Iran, vimesema athari itawachukuwa Iran miezi michache tu kurudi walipokuwa kwenye eneo lile liloshambuliwa
 
Iran itashambuliwa tena na huyo Ayatollah atauwawa kama Rais Ebrahim Raisi alivyokufa kifo cha kutatanisha milimani uko.
Hii itakuwa endapo Iran itagawa silaha kwa wanamgambo ili iishambulie Israel.

Maana sera kuu ya kimataifa ya Iran ni "Death to Israel". Sasa kabla Israel haijauwawa na Iran, inabidi Israel ijipambanue kiulinzi.
Kwa kipigo ilichopata Israel toka kuanzishwa kwa taifa hilo, sidhani kama Netanyahu anaweza kuthubutu hata kuwaza huu ujinga wako ulioandika hapa.

Fikiria vita ya week tu jamaa alikuwa ameshapoteza afya mpaka Marekani ikaamua kuingilia kati ili kuwanusuru.

Wewe toka umfahamu Netanyahu ushawahi kufikiri kwamba kuna siku utakuja kumuona akiwa katika hali hii hapo pichani? Suruali za Netanyahu zilikuwa hazikazi tena kiunoni 🤣🤣🤣🤣

Safari hii mwamba aliwambwa kweli kweli. Na wasingeomba poo, basi angekufa kwa stress ya kukimbilia kimbilia shimoni kila siku pindi wanaposikia makombora ya Iran yanakuja 🤣🤣🤣
 
Attachments

  • 20250620_182450.jpeg
    20250620_182450.jpeg
    81.8 KB · Views: 8
  • 20250620_225357.jpeg
    20250620_225357.jpeg
    21.3 KB · Views: 9
Ukimtoa Ayatollah ikatoa chaos hapo Iran nani atapokea wakimbizi? Huoni wa Syria wameanza kurudishwa kwao. Maana Iranians wenyewe wanaendeshwa na mkono wa chuma kuna wengine wanataka kujitenga.

Hii risk sio ya lazima. Labda warudie vita na ionekane tatizo kubwa ni msimamo wa Ayatollah.
Netanyahu's propaganda at work.
 
Malengo gani mzee😂?

Iran anaendelea na mpango wake wa nyuklia as usual kitu ambacho Marekani na washirika wake walikuwa hawataki. Wamefeli.

Mfumo wa kurusha makombora upo stable kitu ambacho Marekani na washirika wake walidhamiria kuuondoa. Wamefeli.

Kuubadilisha utawala wa Iran na kupachika kibaraka wao. Wamefeli.

Hapo ni malengo gani yaliyotimia?
Waajemi wameishangaza dunia kwa ujasiri wao wa kuwachapa waisrael na Marekani yao, kisha kuwaingiza chaka bila kutegemea.
 
Attachments

  • Screenshot_20250625-084018.jpg
    Screenshot_20250625-084018.jpg
    388.1 KB · Views: 7
  • Screenshot_20250625-084041.jpg
    Screenshot_20250625-084041.jpg
    386.2 KB · Views: 6
Maajabu ni pale wewe mwenyewe umeanzisha vita kisha wewe mwenyewe unaomba suluhu

Israel na US wamepata walichokuwa wanakitafuta
 
On top of that; vyanzo vitatu vya kijasusi vya Marekani vimekiri Trump hakufanikiwa adhima yake ya kuangamiza kabisa kabisa vyanzo vya nuclear vya Iran, vimesema athari itawachukuwa Iran miezi michache tu kurudi walipokuwa kwenye eneo lile liloshambuliwa
Kwani wayahudi wetu wa bonyokwa wanalizungumziaje hili swala. Maana inaonekana wao wanalifahamu hili shambulizi kuliko vyombo vya kijasusi vya Marekani yenyewe 🤣🤣🤣
 
Maajabu ni pale wewe mwenyewe umeanzisha vita kisha wewe mwenyewe unaomba suluhu

Israel na US wamepata walichokuwa wanakitafuta
Ilikuwa ni kipigo cha mbwa mwizi, mpaka Netanyahu huko Shimoni alikuwa haogi, hali wala halali.
 
Attachments

  • 20250620_225357.jpeg
    20250620_225357.jpeg
    21.3 KB · Views: 8
Niaje waungwana

Nafikiri mashambulizi ya mwaka jana kati ya Iran na Israel, yalimpofusha sana Netanyahu kwa kuamini kwamba Iran ilikuwa na silaha chache, na dhaifu kwa kuweza kufanya maangamizi katika ardhi ya Israel.

Ikumbukwe kwamba katika mashambulizi yale Iran alitumia makombora ya kawaida na ya masafa mafupi, hivyo hata madhara na uharibifu wake huko Israel haukuwa mkubwa kivile, hali iliyomfanya Netanyahu aamini kwamba Iran haina silaha za maana za kupambana nae, lakini pia aliamini kwamba Iron dome na Thaad zikiongezwa na kurekebishwa vizuri, basi muajemi atachapika vizuri bila kurusha au kuingiza chochote katika ardhi ya Israel.

Masikini, jamaa hakujua kwamba Ayatollah alikuwa anampimia upeo wake wa akili ulipoishia. Akaenda Marekani kuonana na Trump kisha wakapanga namna watakavyoivamia Iran, kutawala anga, na kuzuia kombora kurushwa nchini kwao Israel.

Waswahili wanasema usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Neta akaanza uvamizi kwa mashambulizi ya kushtukiza huku wakiwa wameshajipanga na Marekani, Uingereza, Ujerumani, Ufaransa na washirika wengine kuzuia mashambulizi ya Iran kwenda Israel. Mpaka hapo walikuwa wanajua Iran haina silaha au makombora ya maana ya kupenya ulinzi wao. Kwa bahati mbaya hali ikawa tofauti na walivyotarajia.

Vinu vikaanza kutumwa Israel katika speed na nguvu ya ajabu kiasi ya kwamba Iro dome na Thaad zao zikabaki kama maonesho tu au mavyuma ya kukamatia kumbi kumbi. Iron dome balada ya kuzuia kombora, inazuia nzi na upepo.

Netanyahu akaona maji yamezidi unga, kinachozuiwa hakionekani, akamwambia baba yake Trump aingilie kati. Baba na yeye kuingilia kati kaishia kupiga hewa, huku mzigo ukiwa umeshahamishwa zamani. Baada ya hapo wakafikiri hilo tukio linamfanya muajemi aogope au kusalimu amri, badala yake ikawa kama vile wamempeleka mzaramo mkoleni. Yani ndo amezidisha mashambulizi na kuigeza Tel Aviv kama Mogadishu.

Baada ya plan kushindwa eti wameamua kuomba poo kwa kutaka vita isimame. Muajemi hataki kusikia hilo, bado anaendeleza kipondo tu huko Israel. Japo wao ni mabingwa wa kuficha taarifa, lakini ukiona Trump anakimbilia kutaka mapigano yasitishwe au vita iishe basi ujue ameona madhara makubwa mno yaliofanywa na Iran huko Israel. Maana ni yeye ndio alikuwa anasema eti waachwe waendelee kuchapana. Sasa imekuaje tena kutaka vita isimame. Za kuambiwa changanya na zako.

Vita sio poa. Nina imani Netanyahu anajuta kuanzisha huu mzozo na vita ikisimama naamini hatokuja tena kuigusa Iran kindezi ndezi vile.

Ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo. Fikiria leo hii Trump anapambana ili vita iishe. Ujue kuna jambo kubwa limetokea huko Israel halitakiwi kusemwa 🤣🤣🤣
Chizi Trump na huyo mwehu mwenzake akili zimeanza kuwarudia sasa. Ni vigumu kupigana vita dhidi ya adui usiyejua nguvu za anayemfadhili. Mamaee zao.....wakome kama walivyokoma ziwa la nina zao!
 
Chizi Trump na huyo mwehu mwenzake akili zimeanza kuwaridia sasa. Ni vigumu kupigana vita dhidi ya adui usiyejua nguvu za anayemfadhili. Mama zao.....wakome kama walivyokoma ziwa la nina zao!
Yani safari hii wamechapwa na wakachapika kweli kweli 🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom