mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,743
- 6,273
Usikute huyo ni mwandishi habari wa Tanzania na wa kutegemewa.Habari ya maana umeandika kipimbi sana kama unaandika udaku

Kwenye mchezo wa ndondi, ikitokea upande wa bondia mmoja aliyezidiwa na mashambulizi ya ngumi ukitupa taulo; pigano linasitishwa!Hivi ushindi wa Iran kwenye hii vita ni ui?
Lengo lao ilikuwa kuharibu vinu vya nukes vya Iran na wamefanikiwa!Kwenye mchezo wa ndondi, ikitokea upande wa bondia mmoja aliyezidiwa na mashambulizi ya ngumi ukitupa taulo; pigano linasitishwa!
Vivyo hivyo kwenye mieleka! Mpinzani wako akikukaba vizuri chini na kushindwa kujinasua, ukinyoosha tu mkono! Shindano linasitishwa. Maana yake umepigwa.
Jambo hili ndilo lililofanywa na Marekani pamoja na mtoto wake Israel. Kiufupi walivamia mzinga wa nyuki.
Wenye hivyo vinu vyao wamekataa kwa kusema havijaharibiwa! Na hapo tumuamini nani, mmiliki au mvamizi!!Lengo lao ilikuwa kuharibu vinu vya nukes vya Iran na wamefanikiwa!
Sasa hapo mshindi ni nani
Muajemi ni nomaNiaje waungwana
Nafikiri mashambulizi ya mwaka jana kati ya Iran na Israel, yalimpofusha sana Netanyahu kwa kuamini kwamba Iran ilikuwa na silaha chache, na dhaifu kwa kuweza kufanya maangamizi katika ardhi ya Israel.
Ikumbukwe kwamba katika mashambulizi yale Iran alitumia makombora ya kawaida na ya masafa mafupi, hivyo hata madhara na uharibifu wake huko Israel haukuwa mkubwa kivile, hali iliyomfanya Netanyahu aamini kwamba Iran haina silaha za maana za kupambana nae, lakini pia aliamini kwamba Iron dome na Thaad zikiongezwa na kurekebishwa vizuri, basi muajemi atachapika vizuri bila kurusha au kuingiza chochote katika ardhi ya Israel.
Masikini, jamaa hakujua kwamba Ayatollah alikuwa anampimia upeo wake wa akili ulipoishia. Akaenda Marekani kuonana na Trump kisha wakapanga namna watakavyoivamia Iran, kutawala anga, na kuzuia kombora kurushwa nchini kwao Israel.
Waswahili wanasema usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Neta akaanza uvamizi kwa mashambulizi ya kushtukiza huku wakiwa wameshajipanga na Marekani, Uingereza, Ujerumani, Ufaransa na washirika wengine kuzuia mashambulizi ya Iran kwenda Israel. Mpaka hapo walikuwa wanajua Iran haina silaha au makombora ya maana ya kupenya ulinzi wao. Kwa bahati mbaya hali ikawa tofauti na walivyotarajia.
Vinu vikaanza kutumwa Israel katika speed na nguvu ya ajabu kiasi ya kwamba Iro dome na Thaad zao zikabaki kama maonesho tu au mavyuma ya kukamatia kumbi kumbi. Iron dome balada ya kuzuia kombora, inazuia nzi na upepo.
Netanyahu akaona maji yamezidi unga, kinachozuiwa hakionekani, akamwambia baba yake Trump aingilie kati. Baba na yeye kuingilia kati kaishia kupiga hewa, huku mzigo ukiwa umeshahamishwa zamani. Baada ya hapo wakafikiri hilo tukio linamfanya muajemi aogope au kusalimu amri, badala yake ikawa kama vile wamempeleka mzaramo mkoleni. Yani ndo amezidisha mashambulizi na kuigeza Tel Aviv kama Mogadishu.
Baada ya plan kushindwa eti wameamua kuomba poo kwa kutaka vita isimame. Muajemi hataki kusikia hilo, bado anaendeleza kipondo tu huko Israel. Japo wao ni mabingwa wa kuficha taarifa, lakini ukiona Trump anakimbilia kutaka mapigano yasitishwe au vita iishe basi ujue ameona madhara makubwa mno yaliofanywa na Iran huko Israel. Maana ni yeye ndio alikuwa anasema eti waachwe waendelee kuchapana. Sasa imekuaje tena kutaka vita isimame. Za kuambiwa changanya na zako.
Vita sio poa. Nina imani Netanyahu anajuta kuanzisha huu mzozo na vita ikisimama naamini hatokuja tena kuigusa Iran kindezi ndezi vile.
Ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo. Fikiria leo hii Trump anapambana ili vita iishe. Ujue kuna jambo kubwa limetokea huko Israel halitakiwi kusemwa 🤣🤣🤣
Hivyo Iran hana nyukila tena sio...??Lengo lao ilikuwa kuharibu vinu vya nukes vya Iran na wamefanikiwa!
Sasa hapo mshindi ni nani
Iran itashambuliwa tena na huyo Ayatollah atauwawa kama Rais Ebrahim Raisi alivyokufa kifo cha kutatanisha milimani uko.Kwahio kuanzia Leo tusijekusikia Iran ana nyuklia Tena kwakua kazi mumeimaliza sawa,? Tukisikia mna anzisha maneno maneno maana yake mnatafuta kingine Iran hana nyuklia na program imefungwa rasmi.
Nuclear reactor anazo. Nuclear weapons hana na hajawahi kuwa nazo. Ndio alikuwa kwenye process ya mwisho pale FordowHivyo Iran hana Nuclear tenaaa????
Ukimtoa Ayatollah ikatoa chaos hapo Iran nani atapokea wakimbizi? Huoni wa Syria wameanza kurudishwa kwao. Maana Iranians wenyewe wanaendeshwa na mkono wa chuma kuna wengine wanataka kujitenga.Regime change vip au ngonjera nyingi vitendo zero
Hizi sasa ni ngonjeraUkimtoa Ayatollah ikatoa chaos hapo Iran nani atapokea wakimbizi? Huoni wa Syria wameanza kurudishwa kwao. Maana Iranians wenyewe wanaendeshwa na mkono wa chuma kuna wengine wanataka kujitenga.
Hii risk sio ya lazima. Labda warudie vita na ionekane tatizo kubwa ni msimamo wa Ayatollah.
Hivyo hatutasikia tena malalamiko ya Iaran kuwa nuclear..?? sioNuclear reactor anazo. Nuclear weapons hana na hajawahi kuwa nazo. Ndio alikuwa kwenye process ya mwisho pale Fordow
Niaje waungwana
Nafikiri mashambulizi ya mwaka jana kati ya Iran na Israel, yalimpofusha sana Netanyahu kwa kuamini kwamba Iran ilikuwa na silaha chache, na dhaifu kwa kuweza kufanya maangamizi katika ardhi ya Israel.
Ikumbukwe kwamba katika mashambulizi yale Iran alitumia makombora ya kawaida na ya masafa mafupi, hivyo hata madhara na uharibifu wake huko Israel haukuwa mkubwa kivile, hali iliyomfanya Netanyahu aamini kwamba Iran haina silaha za maana za kupambana nae, lakini pia aliamini kwamba Iron dome na Thaad zikiongezwa na kurekebishwa vizuri, basi muajemi atachapika vizuri bila kurusha au kuingiza chochote katika ardhi ya Israel.
Masikini, jamaa hakujua kwamba Ayatollah alikuwa anampimia upeo wake wa akili ulipoishia. Akaenda Marekani kuonana na Trump kisha wakapanga namna watakavyoivamia Iran, kutawala anga, na kuzuia kombora kurushwa nchini kwao Israel.
Waswahili wanasema usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Neta akaanza uvamizi kwa mashambulizi ya kushtukiza huku wakiwa wameshajipanga na Marekani, Uingereza, Ujerumani, Ufaransa na washirika wengine kuzuia mashambulizi ya Iran kwenda Israel. Mpaka hapo walikuwa wanajua Iran haina silaha au makombora ya maana ya kupenya ulinzi wao. Kwa bahati mbaya hali ikawa tofauti na walivyotarajia.
Vinu vikaanza kutumwa Israel katika speed na nguvu ya ajabu kiasi ya kwamba Iro dome na Thaad zao zikabaki kama maonesho tu au mavyuma ya kukamatia kumbi kumbi. Iron dome balada ya kuzuia kombora, inazuia nzi na upepo.
Netanyahu akaona maji yamezidi unga, kinachozuiwa hakionekani, akamwambia baba yake Trump aingilie kati. Baba na yeye kuingilia kati kaishia kupiga hewa, huku mzigo ukiwa umeshahamishwa zamani. Baada ya hapo wakafikiri hilo tukio linamfanya muajemi aogope au kusalimu amri, badala yake ikawa kama vile wamempeleka mzaramo mkoleni. Yani ndo amezidisha mashambulizi na kuigeza Tel Aviv kama Mogadishu.
Baada ya plan kushindwa eti wameamua kuomba poo kwa kutaka vita isimame. Muajemi hataki kusikia hilo, bado anaendeleza kipondo tu huko Israel. Japo wao ni mabingwa wa kuficha taarifa, lakini ukiona Trump anakimbilia kutaka mapigano yasitishwe au vita iishe basi ujue ameona madhara makubwa mno yaliofanywa na Iran huko Israel. Maana ni yeye ndio alikuwa anasema eti waachwe waendelee kuchapana. Sasa imekuaje tena kutaka vita isimame. Za kuambiwa changanya na zako.
Vita sio poa. Nina imani Netanyahu anajuta kuanzisha huu mzozo na vita ikisimama naamini hatokuja tena kuigusa Iran kindezi ndezi vile.
Ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo. Fikiria leo hii Trump anapambana ili vita iishe. Ujue kuna jambo kubwa limetokea huko Israel halitakiwi kusemwa 🤣🤣🤣🤣
Sifa nyingi kumbe hana lolote bila Marekani! Hata mimi nimeshangaa!, Wanayemtaja kuwa Rais wa Dunia anaomba vita iishe! Huko kuna jambo kubwa!Mzayuni hawezi toboa miezi miwili mtu bee na muajemi. Amshkuru US Kwa kumkingia kifua kila mara Hali ingekua mbaya zaidi, mkubwa Mpishe zayuni kazi yake ni tuvikundi tuu kama Hamas.
Malengo gani mzee😂?😂 😂 😂 Kobaz bhana!
Mbona malengo ya Israel anajulikana na 98% ameyatekeleza?
Jisomee taarifa kutoka chanzo cha kuaminika DW ambao ni Wajerumani wakinukuu maafisa wa usalama wa Marekani wakisema mpango wa B-2 bunker buster kuangamiza vinu vya nyuklia vya Iran ulifeli.😂 😂 😂 Kobaz bhana!
Mbona malengo ya Israel anajulikana na 98% ameyatekeleza?
Achana nao hao we unadhani wataingia hata JF leo?Jisomee taarifa kutoka chanzo cha kuaminika DW ambao ni Wajerumani wakinukuu maafisa wa usalama wa Marekani wakisema mpango wa B-2 bunker buster kuangamiza vinu vya nyuklia vya Iran ulifeli.
Hawa majamaa ni mapunguani aise.Achana nao hao we unadhani wataingia hata JF leo?