Iran wamezitandika nchi zote za kiarabu!!

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,185
Reaction score
24,565
Nilivyokua nawaambia muajemi sio muarabu muwe mnaelewa, Toka jumamosi nilichagua kukaa kimya maana nilijua kabisa kuwa time will Tell.
Mmejionea wenyewe ubabe Wa Iran

Jamaa wanapiga kila mahali

Yako wapi mairon dome?Iko wapi patriotic? Iko wapi David Sling? Iko wapi.

Iko wapi THAAD?

Inaonekana Iran alijiandaa haswa.

Israel wanaelekea kuishiwa na missile za kutungulia makombora sijui itakuaje

Hii bado ngoma mbichi

Safari hii muajemi kaamua

Walivyokua wanasemaga kuna wajinga wawili humu mlikua mnawaita mbwa koko!!

Sasa kiko wapi!!

Mmejionea wenyewe nguvu ya muajemi na bado ana mpango wa kuanza kutumia ndege za kivita kushambulia Israel na base za marekani hata jana kafanya hivyo

Hii vita ndo kwanza episode one mpaka Washington na vibaraka wake wasalim amri
 
Wamechanyikiwa? Kwanini wamepiga kila nchi jirani ya kiarabu isipokuwa Syria na Iraq ijapokuwa kote kuna kambi za Marekani?
Iraq si ndo miongoni za mwanzo kabisa kushambuliwa?
 
Nilivyokua nawaambia muajemi sio muarabu muwe mnaelewa, Toka jumamosi nilichagua kukaa kimya maana nilijua kabisa kuwa time will Tell.
Mmejionea wenyewe ubabe Wa Iran

Jamaa wanapiga kila mahali

Yako wapi mairon dome?Iko wapi patriotic? Iko wapi David Sling? Iko wapi.

Iko wapi THAAD?

Inaonekana Iran alijiandaa haswa.

Israel wanaelekea kuishiwa na missile za kutungulia makombora sijui itakuaje

Hii bado ngoma mbichi

Safari hii muajemi kaamua

Walivyokua wanasemaga kuna wajinga wawili humu mlikua mnawaita mbwa koko!!

Sasa kiko wapi!!

Mmejionea wenyewe nguvu ya muajemi na bado ana mpango wa kuanza kutumia ndege za kivita kushambulia Israel na base za marekani hata jana kafanya hivyo

Hii vita ndo kwanza episode one mpaka Washington na vibaraka wake wasalim amri *****
Fayaaa 🔥💪💪
 
Iraq si ndo miongoni za mwanzo kabisa kushambuliwa?
Iraq kuna kundi linalounga mkono Iran ndilo lilishambuliwa na Israel ila siyo Iran kuushambulia base ya Marekani
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Nilivyokua nawaambia muajemi sio muarabu muwe mnaelewa, Toka jumamosi nilichagua kukaa kimya maana nilijua kabisa kuwa time will Tell.
Mmejionea wenyewe ubabe Wa Iran

Jamaa wanapiga kila mahali

Yako wapi mairon dome?Iko wapi patriotic? Iko wapi David Sling? Iko wapi.

Iko wapi THAAD?

Inaonekana Iran alijiandaa haswa.

Israel wanaelekea kuishiwa na missile za kutungulia makombora sijui itakuaje

Hii bado ngoma mbichi

Safari hii muajemi kaamua

Walivyokua wanasemaga kuna wajinga wawili humu mlikua mnawaita mbwa koko!!

Sasa kiko wapi!!

Mmejionea wenyewe nguvu ya muajemi na bado ana mpango wa kuanza kutumia ndege za kivita kushambulia Israel na base za marekani hata jana kafanya hivyo

Hii vita ndo kwanza episode one mpaka Washington na vibaraka wake wasalim amri *****
Weka akiba ya maneno. Kuna kesho na kesho kutwa!
 
Duh hatari sana aise
Km kweli Iran anatuhakikishia kua amechafukwa tunaomba arushe kombora kuelekea Marekani maana hapo ni sawa umeng'atwa na nyoka halafu badala ya kuwaua nyoka unaanza kudeal na wanaokuja kukusaidia kumuua nyoka unabamiza mmoja mmoja
 
Ramani unafahamu ilivyo mkuu?

Na kama kuna base nje kwako kimsingi inabidi uanze na base hizo kwanza
 
Makombora yake hayana impact wenzake kombora moja limefuta nusu ya serikali na top cream ya jeshi Sasa hapo nani mbabe?
Sio hayana impact sema mashoga walijificha kwenye mashimo... Kombora 1 la Iran linasasambua mtaa mzima ni vile tu hufuatilii
 
Ni mjinga sana Iran.

Alichokifanya ni sawa na ile mtu kuskia kina jambazi kaja kuvamia kisha yeye anatoka na bunduki yake na kuanza kurusha risasi hovyo bila mpangilio.
 
We sema tu bila mpangilio,mabwana zako wanahama na makolokolo Yao ghuba
 
Attachments

  • IMG_20260302_202126.jpg
    IMG_20260302_202126.jpg
    103.5 KB · Views: 12
Back
Top Bottom