Duh... Netanyahu kayakanyaga aisee!

Hivi Kwa akili Zako Iran ni mijnga kiasi Gani kupiga bomu la nyuklia Israel ambayo ni Palestine? Wewe unafikiri ni kwanini Iran hajapiga kinu Cha nyuklia Cha Israel wakati yeye amepigwa kinu chake? Lakini alipga TU research center? Tumia ubongo
Bwana mdogo nakupa warning, unaweza kuargue bila kunitukana, sawa?

Wewe unajua kuwa kila bomu lina scale of impact au hujui?

Kwa hivyo Iran itashindwa nini?

Kama Iran haikusudii kumpiga Israel kwa Nuke, kwanini anasapoti hivyo vikundi vinavyompiga Israel kila mara? Lengo lake huwa ni nini?

Narudia, nakuonya kuwa makini na matusi yako sijakulazimisha kunijibu...!!!
 

Na Trump kashasema Kwamba Iran Hataweza Tena kutengeneza nyuklia Sasa challenge yangu kwako Kama haitaisha miaka miwili humu tuasikia malalamiko ya Trump Tena na mzayuni, hivyo Kama kazi imeisha tusije sikia Tena Iran Anazo sawa tukubaliane hapa.
******************************
🇮🇱🇺🇸🇮🇷 Trump:
“IRAN WILL NEVER REBUILD THEIR NUCLEAR FACILITIES!”

@Palestine_Updates
 
Hivi ushindi wa Iran kwenye hii vita ni ui?
Huoni Netanyahu amelazimika kuomba msaada kutoka kwa baba hadi kuchukuliwa hatua zinazokiuka misingi ya ushirikiano ya kimataifa. Uamuzi wa Marekani kuishushia Iran mabomu -clusters-bila kuwa na ugomvi wa moja kwa moja na Iran ndicho ushahidi Israel peke yake haiwezi tena kufurukuta dhidi ya Iran.
 
Netanyahu mwenyewe hajui Nyuklia za Iran zipo wapi na Ameapa kuziangamiza,

Nyuklia sio Ghala la maharage kwamba ilipuliwe halafu isisambae na kuleta madhara.
 
Kiukweli sijaona tusi Mimi hapo nimesisitiza matumizi ya akili, ukweli ni Kwamba Iran anahitji mpalestina ampate haki yake ya kujitawala sidhani kama lengo ni kuifuta Israel Hata Kama ni kuifuta akipiga nyuklia wapalestine na wajordan,walebanon wataishije? Hio ni simple logic ambayo trump na wapumbavu wengine hawana, kushambulia kinu Cha nyuklia Kama kile Cha Iran mionzi ikipenya madhara yake ni makubwa mno ni sawa na kupigwa bomu TU, wajinga wamarekani na wazayuni
 
Sherehe za ushindi Leo join.

🇮🇷 Iran’s Revolutionary Guard Corps (IRGC):

• The 22nd wave of Operation “True Promise 3” was a historic and meaningful lesson for the Israeli enemy.

• The Israeli entity desperately begged its US partners for a ceasefire.

• The Iranian Armed Forces will continue to monitor enemy movements with precision and caution.

⭕️ A Victory Celebration will be held today at 6 PM in Revolution Square. (Iranian state TV)
 
Unasema hujaona ulipotukana?

Kwamba unauhakika hapa wewe una akili timamu?

Nimekuuliza unajua kama mabomu yote kila moja lina scale of impact?
Unaelewa nachokuuliza kweli?

Hivi kwa akili ya mtoto tu huoni ni aibu Iran jinchi kuuubwaaa vile kukung'utwa na kanchi kadogo kama Israel, tena sio kukung'utwa tu, ni kukung'utwa kwa mahesabu.

Hapa Israel ikianza kutupa mabomu hovyo kama Iran anavyofanya nina uhakika atakayeumia zaidi ni Iran...
 
Trump anakula bangi nyie...

🇺🇸🇮🇷| Trump: China can now continue to buy oil from Iran.

I hope they buy a lot of oil from America as well. It was a great honor for me to make this happen!
 
Mwaraabu akili zimeanza kurudi
********
🇶🇦 | Emir of Qatar: The U.S. Al Udeid Air Base in Qatar will not be used for any military action against the Islamic Republic of Iran.

🔹@enemywatch
 
Alichokutana nacho hatathubutu tena kunyanyua mdomo kwa Iran hata kama USA kamuahidi kumlinda, Israel imevunjwa vunjwa siyo mchezo na wao wameshindwa kwenda kuharibu Uranium ya Iran japo ndo ilikua lengo ila wamefeli wameishia kupiga mahandaki matupu, Iran wanaenda kumiliki Nuclear ndani ya muda mfupi kwanzia sasa
 
Huu ndio ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…