Duh! Kumbe hata wakubwa wamo ee!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duh! Kumbe hata wakubwa wamo ee!!!!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by firstcollina, May 24, 2010.

 1. firstcollina

  firstcollina JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  View attachment Barak+Sacozy.bmp

  Sasa hapa alaumiwe nani Sacozy kwa kutomshtua jamaa kama anapoteza points...... au mzee mzima kwa kudadisii uumbaji?

  :drum:Duh!! Lakini tuache utani mmecheki kifaa........... full kipotabo
   
 2. B

  Bobby JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,683
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  But hii ni photoshop mkuu tusijefungwa bure! Kwenye original picture ni kweli jaluo aliangalia kifaa lakini hakupeleka mkono, huo mkono umepelekwa makusudi ili mtu asema anachotaka kusema.
   
 3. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kitu photoshop...original picture ninayo,nkiipata nitaileta janvini..
   
 4. JM Aristotle

  JM Aristotle Senior Member

  #4
  May 24, 2010
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ila! Photoshop inaweza ikakuharibia sana...
   
 5. upele

  upele JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2010
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naoana sasa watu wa photoshop munataka kutuharibia raha zetu kwani ze utmmmm ilikuwa hivi hivi ikafungiwa acheni hizo bwana kama hakuna cha kufanya lizeni milio yote ktk simu zenu
  Conquest-mtambo wa dawa za kienyeji na babu yangu mganga
   
 6. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Japo hiyo picha imeshindwa ku-desplay kwangu but kuna hii hapa chini, ndiyo mjue kuwa picha zinadanganya. Click hayo maandishi kwenye picture "Video Clears Up Obama Photo" ili kuwa directed kwenye youtube kama inakataa kucheza

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #7
  May 24, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
 8. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Cheki hapa. jamaa alikua anakula good time kwenye mechi halafu mitchel alikua anmfwatilia. Kumbe sio wake zetu tu wakali kali. obamagame.jpg
   
 9. firstcollina

  firstcollina JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wakubwa hii HAPANA!
  Naomba huu mjadala uishie hapa. Kwa mimi kuufunga rasmi
  Ila point kubwa ilikuwa kuweka angalizo juu ya PHOTOSHOPs ambazo mara nyingi hupoteza uhalisia wa kitu husika.
  Thank you JOHN MABOKO for noting that.
  Mara nyingi PHOTOSHOPs zinapotosha uhalisia wa kitu husika hivyo kupoteza lengo halisi na kuweka lile lisilokusudiwa. Care must be observed all the time in every thing before attempting it.
  Siyo kila picha inayokuwa displayed hapa inakuwa ndiyo hivyo ilivyo, watch out guyz
  Note: Original Pcha ilikuwa captured wakati Mjaluo alipotupa jicho kiaina juu ya huo uumbaji, wadau wakaedit na kuweka motion play, na
  Uhalisia ni kwamba palikuwa na umbali kiasi fulani kati ya huyo kiumbe na Mjaluo. Sitaki amini kwamba Science runs us to hell

   
 10. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #10
  May 25, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Na wewe nawe kila kitu photoshop. agh!
   
Loading...