Duh! Kikwete kweli Mwisho!

Nimeanza kuamini maneno yenu.

Kikwete anaongea na wazee wa CCM Dar-es-salaam badala ya ku-address issue nzito za kitaifa anaanza kuzungumzia sarafu ya Euro mara bei ya Sukari which means vurugu, maandamano, mabomu na hali ya nchi kukosa control kabisa is 'None of his business!'

Alisema eti dola ikipanda bei za vitu wanavyotuuzia pia zinapanda, utadhani sisi hatuna cha kuwauzia wazungu.
 
Nahisi mtoa hoja alisikiliza kipande hicho tu kwa dakika tano na kuacha kuangalia ndio maana hakuona umuhimu wa hotuba ile kuhusu katiba amenenesha vitu muhimu ambavyo havijawahi kufanywa na nchi yoyote afrika hii
 
Nimeanza kuamini maneno yenu.

Kikwete anaongea na wazee wa CCM Dar-es-salaam badala ya ku-address issue nzito za kitaifa anaanza kuzungumzia sarafu ya Euro mara bei ya Sukari which means vurugu, maandamano, mabomu na hali ya nchi kukosa control kabisa is 'None of his business!'

Yasome hapa aliyozungumzia kuhusu "euro". labda utamuelewa:

Hali ya Uchumi
Ndugu Wananchi;
Katika kuelezea hali uchumi nchini, naomba nianze kwa kuelezea hali ya uchumi duniani kwani yanayotokea nchini yana uhusiano mkubwa na yanayotokea duniani. Hali ya uchumi duniani siyo shwari. Ukweli ni kwamba hali katika uchumi wa mataifa ya Marekani, Ulaya Magharibi na Japan haijatengemaa kufuatia machafuko ya masoko ya fedha na mdororo wa uchumi wa miaka miwili iliyopita. Hivi sasa uchumi wa mataifa tajiri ya Ulaya , wanachama wa Umoja wa Ulaya na hasa wanachama wa Umoja wa Sarafu ya Euro unapita katika kipindi kigumu na mashaka. Thamani ya sarafu hiyo inashuka na hata kuaminika kwake ni kwa mashaka. Mfumuko wa bei umepanda, ukosefu wa ajira umeongezeka na ipo hofu kubwa ya uchumi wa nchi hizo kudorora tena. Lakini nchi hizi ndiyo masoko makubwa ya bidhaa zetu, watalii na bidhaa za viwandani. Hivyo, athari zao zinatugusa na sisi. Kuongezeka kwa mfumuko wa bei kunaongeza bei ya bidhaa tunazonunua kutoka kwao. Aidha, kutetereka kwa uchumi wao nako kumepunguza masoko ya bidhaa zetu.
Lakini kulegalega kwa sarafu ya Euro kumesaidia kuimarika kwa sarafu ya dola ambayo kabla ya hapo ilikuwa imepungua nguvu. Kwa sababu hiyo thamani ya sarafu ya dola imepanda duniani ikilinganishwa karibu na sarafu nyingine zote pamoja na yetu. Wakati huo huo bei ya mafuta imeendelea kupanda duniani kutoka dola 76.1 kwa pipa Septemba,, 2010 hadi dola 100.5 Septemba, 2011. Jumla ya yote haya ni kuongezeka kwa mfumuko wa bei kutoka asilimia 4.2 Oktoba, 2010 hadi asilimia 17.9 Oktoba, 2011.
Ndugu Wananchi;
Serikali na vyombo husika vimekuwa vinachukua hatua mbalimbali kukabiliana na matatizo ya kushuka kwa thamani ya shilingi, bei ya mafuta, bei ya sukari na matatizo ya umeme. Kuhusu kushuka kwa thamani ya shilingi Benki Kuu imeendelea kuchukua hatua zilizopo ndani ya mamlaka yake hususan kubana ulanguzi wa fedha za kigeni, kudhibiti matumizi ya fedha kigeni kufanyia malipo hapa nchini na kuongeza fedha za kigeni katika masoko ya fedha. Kwa kweli uwezo wao una ukomo. Jawabu la uhakika lipo kwenye uchumi wa mataifa makubwa kuchukua hatua thabiti kuimarisha uchumi wao ili thamani ya dola irejee mahali pake stahiki na bidhaa zetu zipate masoko ya uhakika na bei nzuri ili mapato yetu ya fedha za kigeni yaongezeke.
Kwa upande wa mfumuko wa bei, ni vyema tukatambua kuwa Asilimia 75 ya ongezeko hili imetokana na kupanda kwa bei ya chakula na mafuta. Asilimia 25 iliyobaki imechangiwa na sera za fedha. Kwa upande wa mafuta, tunaamini utaratibu wa kuagiza mafuta kwa pamoja utasaidia kudhibiti bei za ndani za bidhaa hiyo. Aidha, itsaidia kupunguza makali ya athari ya bei za dunia zinazopanda. Kwa upande wa bei za vyakula, tatizo kubwa ni uhaba wa chakula katika nchi jirani unaosababisha wote kututegema sisi na hivyo kupandisha bei nchini. Tunaendelea kudhibiti magendo ya chakula na wakati huo kutengeneza taratibu rasmi za kuziuzia chakula nchi jirani.
Kwa upande wa sukari tumeamua kuruhusu tani 120,000 ziagizwe ili kupunguza uhaba wa bidhaa hiyo na kushusha bei yake.

Hatuko Peke Yetu

Ndugu Wananchi;
Ni vizuri tukafahamu kuwa, matatizo ya mfumuko wa bei na kushuka kwa thamani ya fedha yetu siyo yetu peke yetu. Nchi zote za Afrika Mashariki zinakabiliana na matatizo haya. Kwa mfano, mfumuko wa bei kwetu ni asilimia 17.9, Kenya wako asilimia 18.9 na Uganda asilimia 30.5. Wakati mwaka wa jana sote tulikuwa kwa wastani karibu asilimia 5. Kwa upande wa kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola sote tumeathirika. Shilingi ya Tanzania imeshuka kwa asilimia 9.4, Kenya kwa asilimia 6.8 na Uganda kwa asilimia 17.4. Randi ya Afrika Kusini kwa asilimia 18.7, Rupia ya India kwa asilimia 9.8, Pauni ya Uingereza kwa asilimia 6.6. na Euro kwa asilimia 9.7.
 
enzi hizo mlikuwa watumwa mnafanyia kazi waungwana, mmekataa kulima mkonge, mpaka umekufa ! Mmejua kuvaa suruali ujeuri umewajaa!

Babu zenu walikaribisha waarabu wakawala tigo'babu zetu walikaribisha wazungu wakawajengea shule'nani mjanja?
 
tulikua tunakula udalali wa kuwauza nyie kwa wazungu ! Wakawaletea bible na mungu mtu, nyie mkawaachia wachimbe almas na kuwalimisha. Waarabu pia walikuwa na elimu, angalia 'key board yako ya computer utaona hayo maandishi yao!'
 
Usi-justify matatizo yako kwa ku-relate na matatizo ya wenzako. Tumekua watu wa kutafuta sababu zisizo na msingi juu ya matatizo yetu mbalimbali, matokeo yake tunashindwa kutatua hayo matatizo kwa kua tunashughulika na visababishi visivyo vya ukweli.
Mwaka juzi Mwanangu alikua amefeli sana mtihani wa Hisabati, kumuuliza akanijibu wamefeli darasa zima (hivyo sio ajabu), nlimchapa sana na matokeo yake ndie anaeongoza kwa hesabu darasani.
Kukosekana kwa sukari nchini hakuhusiani na mambo ya $ hata kidogo,
Zipo bidhaa ambazo zilikuwepo hata kabla $ haijapanda nazo kwa usimamizi mbaya wa serikali zimeingizwa katika mtego huu wa mfumuko wa bei.
Leo watu wanakaa kwenye internet cafe na ku-google bei ya leo ya pipa moja la mafuta huko nje kisha wanakimbilia kwenye TV kutangaza kupanda kwa bei ya Mafuta nchini ambayo makampuni wanayo mwezi wa tatu sasa, ushaona wapi hii?
Mafuta ndio kila kitu, unapopandisha mafuta ndio umepandisha bei ya kila kitu, ukianza kufananisha na kina Uganda na Kenya ina mantiki gani??
Monetary Policy za BOT zinafanya kazi gani?
 
Okkkk'kumbe nyie na waarabu mlikula sahani mojaaaaa!sasa mlipata nini?sisi na wazungu tulikula sahani moja tukapata elimu'mlichoambulia kwa waarabu ni kupumuliwa visogoni ndio maana mnashinda vibarazani mkicheza bao na mikundu ikiwa wazi bila chupi
 
Kuna mijitu mingine mipunguani kabisa kazi kuvuruga sredi za watu,HESHIMUNI MADA ZA WENZENU kama mnataka kukashifiana fungueni yenu,ndio muanze kupena mipasho alaaaa.
 
Okkkk'kumbe nyie na waarabu mlikula sahani mojaaaaa!sasa mlipata nini?sisi na wazungu tulikula sahani moja tukapata elimu'mlichoambulia kwa waarabu ni kupumuliwa visogoni ndio maana mnashinda vibarazani mkicheza bao na mikundu ikiwa wazi bila chupi
Wewe ***** elimu unakusudia nini ? Wangekua wamesoma na kuelimika wasingekubali kudanganywa kuwa 'mungu ni mtu' hivyo they cant reason ! Hao wazungu mlio wakaribisha ndio wanahimiza na kuhalalisha huo ubazazi, ndio maana 'David Cameron' kasema atazuia misaada !Makanisa yanafungisha ndoa za wajinga na ulaya rukhsa kupumuliana ! Elekeza lawama zako kwa mabwana zako!
 
Usi-justify matatizo yako kwa ku-relate na matatizo ya wenzako. Tumekua watu wa kutafuta sababu zisizo na msingi juu ya matatizo yetu mbalimbali, matokeo yake tunashindwa kutatua hayo matatizo kwa kua tunashughulika na visababishi visivyo vya ukweli.
Mwaka juzi Mwanangu alikua amefeli sana mtihani wa Hisabati, kumuuliza akanijibu wamefeli darasa zima (hivyo sio ajabu), nlimchapa sana na matokeo yake ndie anaeongoza kwa hesabu darasani.
Kukosekana kwa sukari nchini hakuhusiani na mambo ya $ hata kidogo,
Zipo bidhaa ambazo zilikuwepo hata kabla $ haijapanda nazo kwa usimamizi mbaya wa serikali zimeingizwa katika mtego huu wa mfumuko wa bei.
Leo watu wanakaa kwenye internet cafe na ku-google bei ya leo ya pipa moja la mafuta huko nje kisha wanakimbilia kwenye TV kutangaza kupanda kwa bei ya Mafuta nchini ambayo makampuni wanayo mwezi wa tatu sasa, ushaona wapi hii?
Mafuta ndio kila kitu, unapopandisha mafuta ndio umepandisha bei ya kila kitu, ukianza kufananisha na kina Uganda na Kenya ina mantiki gani??
Monetary Policy za BOT zinafanya kazi gani?

Soma vizuri la sivyo itabidi na wewe uchapwe kama mwanao.

Sukari isome hapo juu.

Kuhusu njia zilizochukuliwa soma hapo juu.

Dunia ya leo na nchi si kama kwa mwanao huwezi kuiendesha nchi hususan kiuchumi bila kushirikiana na nchi zingine. Huyo mwanao uanesema anaongoza kwa hesabu kwanini ulimpeleka shule? si ungemfundisha mwenyewe nyumbani halafu ungejuwa wa kumlinganisha nae kama anafaulu au anafeli.

Fikiri japo kidogo.
 
FF,
Hapo Juu hakuna majibu ya moja kwa moja ya maswali nliyoyauliza hapa.

Eti majirani wana uhaba mkubwa wa Chakula so wanachukua sana kwetu ndio manaa tumepandisha bei!!!!, nawe unaamini ni sababu??

Kuhusu njia zilizochukuliwa hili sikubaliani nalo, kwani hakuna unafuu BAADA ya hizo njia kuchukuliwa na KABLA.

Anyway, endelea kuamini unavyoamini nami niamini yangu, LAKUM DIN KUM WALIYA-DIN.
 
Back
Top Bottom