josam
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 2,252
- 1,047
- Thread starter
- #21
Hakuna binadamu mbishi..mara nyingi utamuita mtu mbishi kwa kuwa amekataa kukubaliana na wewe kwa ishu ambazo mara nyingi it is a matter of opinion. Na kiuhalisia mtu aliyekukuta unabishana na mha alitoa riport kuwa "nimekuta watu wawili wanabishana"..coz mtu mmoja hawezi kubishana
Kama mtu unamuonyesha gari akakataa na kusema ni chandarua huyo muite mbishi..otherwise it is your opinion and I dont have to be bound by it
Haya watani zangu nimewatetea na nyie jiongezeni sasa!!!!!
Hhaaaaaah....
Unawasema weye!? Au_ _ _?