Duh hii imekaaje

Kama wewe ndo mkuu wa kitengo basi kuna shida sana huko serikalini?
 
Utakuwa Shox wewe
 
Umekuwa mkuu wa kitengo unaandika hivi..
Je ungekuwa mkuu wa Divisheni ingekuaje???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
kwa hio ww ni mkuu wa kitengo huko serikalini
 
Mkuu wa kitengo na bado una akili hizi?
Au ni mkuu wa kitengo cha wala papuchi?
 
wewe ni mkuu wa kitengo mpumbavu sijapata kuona. Ndio maana serikali inataka muwe mnafanya mitihani.
 
Mwandiko ni kama unaruka sambasoti huku unakunya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…