Duh! hadi raha,vimini kwa madent wa Kenya ruksaa!

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,933
1,294
Ni maneno ya waziri wa elimu Mutula Kilonzo! eti kadai wale mabinti hawajaenda shuleni kusomea u sister,hivyo waachwe kuvaa vimini vyao kwa kuwa waligomea masomo kwa kukatazwa kuvaa vimini vyao! mwee!
 
hivyo vimini wanavyotaka miguu wanayo au ndo kutuonyesha pingili zao..

Hata mi nawashangaa! mi nilikuwa na dem wa kikenya na alikuwa na rafiki zake wananitembelea,wote miguu ka ngongoti! sijui wanang'ang'ania nini!
 
Back
Top Bottom