Duh! Bei ya mafuta yapanda nchini Marekani!

Mpwaaaaa balaaa huo mzigo wa mafuta unakuja mpaka afrika tujiandae tu
 
Upo saii kabisa
kwenye Uchaguzi kikaongo kipo wamejichanganya kuichokoza Iran!!
Trump alifanikiwa Venezuela so kichwa kikawa kikubwa!!
wakataka na Iran wameyakanyaga.
Uchaguzi huu wanaenda poteza wingi wao kwenye mabunge.
Yote,
 
Mkuu, niunge kwenye hiyo kazi ya kubeba maboksi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…