Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,317
- 144,724
- Thread starter
-
- #21
Naona una limited vocabulary!Ndio punguza mapenzi kwenye mada km hizi don't be too emotional sababu ishatokea huwezi kurudisha mshale wa saa nyuma haiwezekani muda ushavuka pale hisia zako weka pembeni kubari kilichopo endelea na kilichopo maana hata ukilaumu unaemlaumu hawezi kukuelewa punguza hisia usilie kwa sauti lia kimya kimya kuna mtu anapasuliwa jipu huko maumivu hayawezi kua upande wako sababu wewe jipu sio lako
Kwanini asiwaue hao Jewish!? Ili awe salama !?Hata kama ungekuwa ni wewe wadau wameachia part one ya epstein files kuonesha wana mafiles yote then jews wanakuambia fanya hichi lasivyo tutafabya hivi utafanya nini?..
Trumps kawa blackmailed na jews
Wapi nimemkubali Ayatollah?Toka nigundue wewe unamchukia Samia na kumkubali Ayatollah nilikudharau sana asee.
Double standard
Ila kipindi anasinda uchaguzi awamu ya pili ulisema kabisa kuwa huyu jamaa ni kichaa na atakuja kuivuruga dunia watu wakakubishia na mm nikiwemo sasa yametimia.Marais wa Republican ni warmongers, Trump ni zaidi ya warmonger, ni mwehu ambaye yuko tayari kufanya jambo lolote kwa maslahi yake binafsi au kisasi dhidi ya wapinzani wake
Mwanasiasa yeyote ambaye anawaona raia wanaompinga, wasiomtaka au kumkubali kama maadui na wasaliti lazima huwa ni wa hovyo tu.Ila kipindi anasinda uchaguzi awamu ya pili ulisema kabisa kuwa huyu jamaa ni kichaa na atakuja kuivuruga dunia watu wakakubishia na mm nikiwemo sasa yametimia.
Mm huwa sikubaliani na ww kwenye mambo mengi lakini kwa hili nakubaliana na ww.
Na ukichaa wake nilianza kuuona pale alipo anza kupandisha ushuru wa bidhaa kutoka nchi zote duniani bila kujali ni nchi maadui au nchi marafiki.
Hisia nimeweka wapi wewe?Nimemwambia mimi apunguze hisia kwenye mapenzi km haya asiweke hisia mbele sana itamcost
Speculations tu!Hata kama ungekuwa ni wewe wadau wameachia part one ya epstein files kuonesha wana mafiles yote then jews wanakuambia fanya hichi lasivyo tutafabya hivi utafanya nini?..
Trumps kawa blackmailed na jews
Khamenei ni muuaji. Sijasikitika yeye kufa.Nyumbu unachekesha sana,jana tu ulikuwa unashangilia khamenei kuuwawa,ukamsifia trump,leo umebadilika na kumlaumu trump...fala wewe
Hata Tanzania kuna chakula cha kutosha ila kuna wakati watu huwa wanateseka na bei za vyakula.Naonaga US hujivunia kuwa na mafuta ya kutosha. Lakini hapo hapo wanateseka na bei.
Wadau hebu mnielezee vizuri nielewe
Huyu jamaa Huwa anaacha hoi sana kama ndumi la kuwiliNyumbu unachekesha sana,jana tu ulikuwa unashangilia khamenei kuuwawa,ukamsifia trump,leo umebadilika na kumlaumu trump...fala wewe
Mabikra 72 na Mapipa ya Pombe kali au sio?3. Waarabu suala la kifo kwao ni tofauti na wazungu,
Elon Musk yupo mbele ya muda na gari za umemeYakipanda bei sana, tutaamia kwenye baiskeli
Ngoma ngumu hii Marekani mwenyewe kasema leo anahisi vita vitachukua wiki nne mbele,Iran kitu pekee atanifurahisha ni kutupa surprise atume vimondo Washington Na New York city. Akifanya hivyo dunia italipuka kwa furaha Sana.
Kwa sasa bado naona yupo ndani ya mfumo wa USA