![]()
Dah! hii hatari jamani!
Ahaha! haya bana. Rage alisema alienda kumsihi ili aondoke kwa amani.Nimeona Mkuu, but the heading is different!
wapenda vya bure hao, kofia na mashati ya kijani!
Ahaha! haya bana. Rage alisema alienda kumsihi ili aondoke kwa amani.
Mi ananichekesha huyo jamaa mashariki mwa uwanja anaambaa na bonge la fatuma kama anaenda kuua nyoka
Si unamuona alivyo dume la mbegu? Wengine choka mbaya
![]()
Dah! hii hatari jamani!
Hii ni picha ya mwaka!![]()
Dah! hii hatari jamani!
Laiti pro- Chadema mngejua hii picha inawadhalilisha! msingeshabikia kuiweka hapa ila kwa kuwa kila mtu hufikiri kulingana na uwezo wa akili yake basi mnaweza kuendelea,
Laiti pro- Chadema mngejua hii picha inawadhalilisha! msingeshabikia kuiweka hapa ila kwa kuwa kila mtu hufikiri kulingana na uwezo wa akili yake basi mnaweza kuendelea,
![]()
Dah! hii hatari jamani!
huyo mwenye bahasha anarusha jiwe kama shoga hivi kikinuka wataweza au wanafikiri amani ni kitu cha kuchezea.tusubiri wakati utufafanulieHuyo wa mwisho kulia ndio Rage? Nahisi kweli anafaa kupelekwa mahakamani au ndio lazima ule alienono?