St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
Mi ananichekesha huyo jamaa mashariki mwa uwanja anaambaa na bonge la fatuma kama anaenda kuua nyoka
Umetizama sura ya ustaadh mwenye barghashia..??
Mi ananichekesha huyo jamaa mashariki mwa uwanja anaambaa na bonge la fatuma kama anaenda kuua nyoka
Kwa kweli unahitaji kuwa na akili za maiti kufikiri kwamba picha hii inawadhalilisha hao uliowataja; halafu jingine mazingira na mkasa mzima wa picha hii si unafahamika bwana. Hapa hata magamba wajitahidi vipi isionekane itaendelea kuwasumbua tu. Unaandika hayo uliyoyaandika ili isiendelee kuwekwa pole wajuzi waliishajua janja yenu siku nyingi tu, msidhani watu wote ni mazuzu; kama wale aliowataja Mwalimu Nyerere wanaokubali kupewa kichupa badala ya almasi na wao kutoa almasi halisi.Laiti pro- Chadema mngejua hii picha inawadhalilisha! msingeshabikia kuiweka hapa ila kwa kuwa kila mtu hufikiri kulingana na uwezo wa akili yake basi mnaweza kuendelea,
Umeona eee ili ajulikane anayetishia amani ni naniHii picha inabidi iwekwe kwenye mabango ya kampeni.
huyo mwenye bahasha anarusha jiwe kama shoga hivi kikinuka wataweza au wanafikiri amani ni kitu cha kuchezea.tusubiri wakati utufafanulie
![]()
Dah! hii hatari jamani!
au maganda ya mayai na kuwasonya.Hao ndio wanaowapiga majambazi kwa mito ya kulalia.
kamanda kakutana na makomredi, pamekuwa hapatoshi,:target::majani7::cheer2:
Laiti pro- Chadema mngejua hii picha inawadhalilisha! msingeshabikia kuiweka hapa ila kwa kuwa kila mtu hufikiri kulingana na uwezo wa akili yake basi mnaweza kuendelea,
ok! sawa kwa hiyo huyo jamaa wa chadema ni sawa na kichaa na wanaomkimbiza ni sawa na watu waliochukuliwa nguo zao.nimeelewa.Ivi anayedhalilika hapa kwenye hii picha ni nani haswa? Yaani ushabiki sometimes hu erode uwezo wa kufikiria....Unanikumbusha kisa cha kichaa aliyepita kando ya mto akachukua nguo za bwana mmoja aliyekuwa akioga mtoni...yule bwana kuhamaki akatoka mbio akaanza kumkimbiza yule kichaa huku akiwa uchi....pata picha aliyewakuta wakikimbizana alijua kichaa kati yao ni nani??..think big...think Loud..
au maganda ya mayai na kuwasonya.
kaka hilo linawezakana. Siasa huvunja familia.
Hivi kweli hawa ndio viongozi wa kisiasa, hawa hawa wanao imba nyimbo za amani!
haya bwanaWakikanyaga ganda la njugu hlia "pooo"