Dudubaya ni ngangaripoa?

Mshana Jr umekumbana na dhoruba ya MAMBAZ KONK KONKORD MASTER BLACK DIRTY OIL?
Nimekumbana na tufani la upumbavu kwakuwa nilichoandika sio kinachojadiliwa na kushikiwa bango.... Na kwa bahati mbaya sana nawe ukaangukia huko... Pengine umefanya hivyo makusudi kwakuwa tunatofautiana mitizamo ya kisiasa... Kama umetumia sababu hii basi inasikitisha sana.. Sikutaka kukuweka kwenye kundi la wapuuzi ndio maana nikakujibu.... Kwangu mimi WAPUUZI hawajibiwi..!!!!
 
Uko sahihi Chakaza hebu cheki nilichoandika na kinachojadiliwa hapa... Hii ndio JF tuliyo nayo leo hii... Lakini hatupaswi kuwa na taharuki kwakuwa wakati ni hakimu mzuri.....
 
Wamebaki wapambe wake tu wanachangamsha genge
Kumbe na wewe ni mpambe wa waliotajwa na Konk master eeh? na ulianzisha hii thd kwa chuki yako binafsi tu kwa Oil chafu? umefeli nenda kajipange upya,oil chafu haichafuliwi,Dudubaya kawashika pabaya aisee,mnahangaika kujisafisha kwa kumpakazia,hiyo haisaidii na wala sio solution ya kusafisha waliotajwa.
 
Mbona watu mnakuwa na huruma sana kwa mashoga? Uchuneni bhasi, mbona kwenye jamii kuna Makundi mengi ya watu wanaoteseka, teteeni hao!!
 
DUDU BAYA NI SHOGA ALIYETUMIA USANII WA KUFICHA USHOGA WAKE KWA KUWATUHUMU WENGINE NI MASHOGA.

HE IS A BRAVE GAY THOUGH.
 
Mbona watu mnakuwa na huruma sana kwa mashoga? Uchuneni bhasi, mbona kwenye jamii kuna Makundi mengi ya watu wanaoteseka, teteeni hao!!
Kama unachangia kwa muktadha wa mada hii basi naamini hukuelewa kabisa nilichoandika.... Hebu chukua muda wako tena usome kwa makini.... Kwa kutulia
 
we shoga yake nini!?..mbona unamtetea sana..!!..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…