happyxxx
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 568
- 1,847
Mtoto wa Freeman Mbowe ambaye anatajwa tajwa sana kurithi mikoba ya baba yake kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA.
Lakini mimi binafsi naona hatoshi sababu amekimbia na mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya baba yake mpaka sasa baadhi ya mali zao zinatakiwa kupigwa mnada.
Haiwezekani mtetezi wa wanyonge ukafanya dhulma ya jasho la watu.
Lakini pia kwenye maandamano na mikutano haonekani.
Sitaki kuona mambo anayafanya Museveni yanafanyika hapa nchini na Chadema.
Wewe unaonaje anatosha hatoshi kirithishwa chama na baba yake?