Yap! Nitajinyakulia mwalimu moja ila kazi ya uwalimu nitamwachisha tu. Namfungulia miradi alee watoto tu. DUCE ni chuo cha watoto wa watu maskini, mtu mwenye pesa zenu uwezi poteza muda. Nenda DUCE kwa macho tu ukiwaona utawagundua kwamba hawa choka mbaya.
kwa kuwa mi mwalimu,nishapima uelewa wako,yaan ww hata kuoa hufai nahisi ni adolecent wewe!
Mwalimu choka mbaya. Am not juvenile, am in your prime.kwa kuwa mi mwalimu,nishapima uelewa wako,yaan ww hata kuoa hufai nahisi ni adolecent wewe!
Umepata Mkopo 100%.. Hongera Dada. Tukutane tar 12 Oct
mwalimu choka mbaya. Am not juvenile, am in your prime.
Mwalimu choka mbaya. Am not juvenile, am in your prime.
heri unyimwe mali kuliko unyimwe akili.Yap! Nitajinyakulia mwalimu moja ila kazi ya uwalimu nitamwachisha tu. Namfungulia miradi alee watoto tu. DUCE ni chuo cha watoto wa watu maskini, mtu mwenye pesa zenu uwezi poteza muda. Nenda DUCE kwa macho tu ukiwaona utawagundua kwamba hawa choka mbaya.
Napita tu shemeji yenu. fani ya walala hoi. Nikitaka kuoa, nitakuja kujinyakulia kitoto kimoja safiii!!!
Mwaka huu First year DUCE wame disco 23
Mwalimu choka mbaya. Am not juvenile, am in your prime.
202 Wame-sup
wamedisco coz of GPA or kuna some other mistakes wamefanya?
kufanikiwa ktk maisha kunahtaj mamb meng si fani tu amby unayosomea unawez ukachukua hat udaktar fani inayoheshmika na weng tanz lakn ukashindwa kuyamudu kimaisha na ukuachwa na mtanganyka mwenzake tena kwa mbl sana ambaye hata daras la saba halijui.Maish mipango kijana acha ush...ambenga
hey,first year,kuna ambaye anaenda kusoma linguistics au literature?