Dubai walifanya Royal Tour lini? Wapi?

Takwimu toka Idara ya Utalii Dubai unaonyesha kwa mwaka 2019 tu Jiji la Dubai pekee lilipokea watalii yapata milioni 16.
SWALI: wao walifanya Movie ya Royal tour lini?
Akili huna
Dubai ni eneo la kitalii ambalo wawekezaji wanatoka dunia nzima kupitia masoko ya hisa waliamua kujenga vivutio vya kitalii ambavyo.vilikuwa havipo kwa pesa zao kama sehemu ya ku relax wao na familia zao kwa watu wenye pesa hasa sio malofa

Sisi tunategemea vivutio vya asili
 
Ukweli ni kwamba ingetengenezwa kama production zingine tunazoziona Natgeo na sehemu kama hizo, Ikabaki kama kazi itakayodumu na kuonyeshwa tena na tena kwa vizazi, pengine ingekuwa na mafanikio makubwa. Shida siasa zimeingia na ulimbukeni wa kui oversell mpaka vyombo vya habari vyote vinaimba wimbo mmoja.
Ukweli mwingine ni kwamba sioni atayakebaki anaiongelea tukifika mwezi wa sita tu hapo kesho kutwa zaidi ya matamko ya hapa na pale ya jumla kuhusu mafanikio makubwa iliyoleta, na wakati mwingine namba zitatajwa ambazo hakuna atakayehoji.
 
Akili huna
Dubai ni eneo la kitalii ambalo wawekezaji wanatoka dunia nzima kupitia masoko ya hisa waliamua kujenga vivutio vya kitalii ambavyo.vilikuwa havipo kwa pesa zao kama sehemu ya ku relax wao na familia zao kwa watu wenye pesa hasa sio malofa

Sisi tunategemea vivutio vya asili
Dada Mwenye akili Umeongea nn Sasa hapo?
 
Takwimu toka Idara ya Utalii Dubai unaonyesha kwa mwaka 2019 tu Jiji la Dubai pekee lilipokea watalii yapata milioni 16.
SWALI: wao walifanya Movie ya Royal tour lini?
Kwamba Dubai hawatangazi utalii,watalii wanaota tu kwamba Kuna nchi unaitwa Dubai tukatalii!!!...shule hazitusaidii aisee
 
Kwamba Dubai hawatangazi utalii,watalii wanaota tu kwamba Kuna nchi unaitwa Dubai tukatalii!!!...shule hazitusaidii aisee
Wana SIASA Safi, strategy zilizonyooka kuvutia wawekezaji na support services (airlines, hotel, attraction sites)+wahudumu Wana weledi na ukarimu. Tofauti na hawa wa wa kwetu wengi wanawaza kuiba+KUDANGA.
 
Takwimu toka Idara ya Utalii Dubai unaonyesha kwa mwaka 2019 tu Jiji la Dubai pekee lilipokea watalii yapata milioni 16.
SWALI: wao walifanya Movie ya Royal tour lini?
Dubai yenyewe umeifahamu miaka mitatu iliyopita. Sasa utajuaje mambo ya miaka 20 ilopita?
Ya huko hayakuhusu.
 
Elimu, siasa safi, uwazi kwenye uwekezaji, usalama wa wageni, uboreshaji wa miundominu ya utalii, michezo, kuepuka rushwa na UZALENDO KWA TAIFA. Ukifanikiwa kwenye hayo huna haja ya kutengeneza filamu ya Royal tour.
Dubai hakuna vurugu za kila namna kama mipango ya vichaa kama bongo.

Dubai ni mahali panapojiuza. Kuanzia mazingira, ujenzi, miundombinu, bidhaa zinazouzwa na uelewa wa watu wake.

Bongo, kila mahali hakuna kinachoonekana kuwezekana. Kila unalokutana nalo linaakisi watu waliovurugwa akili.
 
Mtalii akitua tu Airport anakutana na WIZI wa vitu kwenye mabegi ya watalii
 
Wana SIASA Safi, strategy zilizonyooka kuvutia wawekezaji na support services (airlines, hotel, attraction sites)+wahudumu Wana weledi na ukarimu. Tofauti na hawa wa wa kwetu wengi wanawaza kuiba+KUDANGA.
Baada ya hapo watalii wataota tu kwamba Kuna nchi mashariki mwa afrika Ina Serengeti,Kilimanjaro,wanadai na zenji!?
 
Japo filamu ya Royal Tour sio mkombozi wa utalii Tanzania ni booster kubwa ya utalii wetu kwa soko la Marekani.
P

Takwimu zinaonyesha Tanzania inapata watalii wengi kutoka EU na si Marekani. Upcoming Market ni Asia zaidi China ingawa kwa hawa changamoto ya food and accommodation vilitucost. Kuna kabrasha tulilitupa pale ubalozi enzi hizo kuboresha mazingira ya utalii ili kuvutia Asian markert ambayo kutokana na saving inaenda kumlevel mzungu katika utalii.
 
Swali zuri ila Dubai sio direct competitor wa Tanzania katika utalii. Dubai anashindana na Singapore, katika aina ya watalii wanaotafuta.

Ila Royal Tour wajipange baada ya mwaka watupe faida ya hii filamu kwa utalii. Waonyeshe namba.

Numbers can be cooked with no smoke my friend
 
Akili huna
Dubai ni eneo la kitalii ambalo wawekezaji wanatoka dunia nzima kupitia masoko ya hisa waliamua kujenga vivutio vya kitalii ambavyo.vilikuwa havipo kwa pesa zao kama sehemu ya ku relax wao na familia zao kwa watu wenye pesa hasa sio malofa

Sisi tunategemea vivutio vya asili

Na wale Twiga mkawagawia. Dege lilisheheni kweli kweli. Na vitalu mnawapatia kama upepwo ili waendelee kuvuna wanyama na kuwapeleka Arabuni. Halafu utegemee mzungu aje bongo kwenye asili asiende Dubai.
 
Kuna kabrasha tulilitupa pale ubalozi enzi hizo kuboresha mazingira ya utalii ili kuvutia Asian markert ambayo kutokana na saving inaenda kumlevel mzungu katika utalii.
Kwanza nafurahi as days go on, hata katika pen names tunaanza kufahamiana professionals, mfano leo ndio nimejua kuwa kumbe Mkuu Ng'wanamangilingili ni mtu wa tourism sector. The Asian tourist are stingy sana, European are spenders and the American are the richest and spends like nothing, hivyo the royal tour itawafungualia Americans soko la Tanzania.
 
Takwimu toka Idara ya Utalii Dubai unaonyesha kwa mwaka 2019 tu Jiji la Dubai pekee lilipokea watalii yapata milioni 16.
SWALI: wao walifanya Movie ya Royal tour lini?
Kuna wakati Jerusalem na Israel kwa ujumla hupokea hadi millioni nne kwa MWEZI hivyo elewa kuna mazingira tofauti kila nchi.
Different countries different strategies sisi hatuna mabilioni ya dollar za kujenga miundombinu ya hali ya juu Kama Burj Al Khalifa kuvutia watalii
Give the devil his due young man
 
Back
Top Bottom