Uzinduzi wa Filamu ya "The Presidential Tour" Main Character ni Rais Samia

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,051
49,734
Safari ya kutangaza Utalii wa Tanzania inaendelea ,baada ya Royal tour Sasa ni Presidential Tour ambayo itazinduliwa kesho Jumamosi Hadi Lengo la kufikisha Watalii Milioni 5 lifikiwe.

Kazi iendelee 👇
---
Ni Rais Samia tena, safari hii anakuja na “The Presidential Tour.” Ni nini?imesheheni nini? Basi subra subra subra, ni kesho Jumamosi saa tatu usiku

1707506357293.png
 
Watanzania tunashida na umeme sio move! Nchi iko gizani kiongozi wa nchi anapata wapi nguvu ya kuekti video????
 
Safari ya kutangaza Utalii wa Tanzania inaendelea ,baada ya Royal tour Sasa ni Presidential Tour ambayo itazinduliwa kesho Jumamosi Hadi Lengo la kufikisha Watalii Milioni 5 lifikiwe.

Kazi iendelee 👇
---
Ni Rais Samia tena, safari hii anakuja na “The Presidential Tour.” Ni nini?imesheheni nini? Basi subra subra subra, ni kesho Jumamosi saa tatu usiku

silipendi hili bibi
 
Hao wazee Kwa sura zao na mashavu yao yalivyo tuu NI Utapeli Mtupu hamna watu hapo
Yakitoka hapo yanasaini posho wakat kyela tupo gizani tangu mwezi wa 9 na tunamakaa ya mawe nchi pumbavu sana hii
 
Back
Top Bottom