imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,682
- 71,065
Ulikuwa ukisema kuwa Magufuli sio yule Vasco weye?nchi ilikuwa kifungoni
Ulikuwa ukisema kuwa Magufuli sio yule Vasco weye?nchi ilikuwa kifungoni
Andika mbowe sio gaidi ila shida yake anataka katiba mpya tumesema asubiri ila hataki.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiunganisha dots nazidi kuyaona yaliyofichwa nyuma ya sakata la NCA.Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Makamu wa Rais ambaye ni Waziri Mkuu wa Nchi za Falme za Kiarabu na Mtawala wa Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum
Amekutana naye baada ya kuhutubia katika Maonesho ya Dubai Expo 2020 katika Mji wa Dubai leo Februari 26, 2022
View attachment 2131972
View attachment 2131973
Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Makamu wa Rais ambaye ni Waziri Mkuu wa Nchi za Falme za Kiarabu na Mtawala wa Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum
Amekutana naye baada ya kuhutubia katika Maonesho ya Dubai Expo 2020 katika Mji wa Dubai leo Februari 26, 2022
View attachment 2131972
View attachment 2131973
Huyo ni mkalimaninaona tunatangaza shida zetu kwa secretary hapo... dah ndugu zetu wa Kyiv weekend hii vodka hazinyweki kabisa pale Kyiv.
Huwa najiuliza sana kwann viongozi hapa kwetu wasiwe na akili ya namna hii? Baadhi ya watz tumechoka kusikia tumepewa hiki, tumesaidiwa kile, tumeahidiwa hili, tutafanyiwa lile,,,eeeeh, sisi ubongo wetu umejaa maji? Yes we need economic opportunities, yes we need development assistance, we need development partners ila sio akili tegemezi, hata resources tunazopata tayari tunaingia mikataba ya kijinga. Tuna tatizo Gani sisi? Sijasoma historia ya nchi yoyote duniani iliendelea kwa strategies tunazotumia sisi za kuwa omba omba, lazima muwe na mikakati ya ndani ya uzalishaji, masoko esp soko la Afrika kwa kuanzia, etc"hivi sisi nani ametusaidia kugeuza jangwa kuwa heaven ya duniani?"... Sheikh Makhtoun ana mengi kichwani?
Gharama ya sendo ,unanunua gari ukute! Na kesho avai tenahawa waarabu hiyo ring hapo kwenye hiyo picha unaweza kuta ni dhahabu tupu
Ni kweli na mtawala alikuwa mmoja na makao makuu yalikuwa hapa Zanzibar.Zanzibar ilikuwa ya Oman.
Safi
Inapendeza na Ahsante kwa taarifa...
Anauza Ngorongoro sio?!Ni jambo jema!
Nyie akina Nani wakati walikuwa wanakuja huku kuwakamata na kuwauza utumwani? Unaweza kumkamata mtu aliyekuzidi uwezo na kumfanya mtumwa?1961 hawa jamaa tulikuwa tumewaacha mbali sana,
Eti leo wametutangulia karne 10 mbele
Acha hizo bana,ikiwa ni pure gold inamaana anabeba kilo moja kichwani?Sio unawezakuta, hio ni pure gold mkuu
huyo wa kati ni mkalimani nahisi kuna sehemu LUGHA GONGANA
Bila kutembeza bakuli la omba omba!Kutoka Kijiji cha uvuvi(a fishing village)miaka ya sabiini mpaka kuwa Jiji la kimataifa(international bussiness Center),kuanzia miaka ya thamanini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sie ni mimi na wewe na watanganyika wote,Nyie akina Nani wakati walikuwa wanakuja huku kuwakamata na kuwauza utumwani? Unaweza kumkamata mtu aliyekuzidi uwezo na kumfanya mtumwa?