Maambukizi ya Ebola nchini Kenya vyafikia 8

Maambukizi ya Ebola nchini Kenya vyafikia 8

carbohydates

Senior Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
103
Reaction score
184
Idadi ya visa vya Ebola nchini Kenya imeongezeka hadi nane baada ya mtu aliyekuwa amewekwa karantini kupatikana na virusi hivyo. Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, mgonjwa huyo alikuwa mhudumu wa mgonjwa wa kwanza wa Ebola nchini humo, mwanaume mwenye umri wa miaka 49 aliyefariki katika Hospitali ya Nairobi siku mbili baada ya kuwasili kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kupitia Uganda.

Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Patrick Amoth, amesema visa vipya vimegunduliwa miongoni mwa watu waliokuwa wakifuatiliwa kutokana na kuhusiana kwa karibu na mgonjwa wa kwanza. Aidha, amesema wagonjwa wengine sita waliothibitishwa kuwa na Ebola wako katika hali thabiti na wanaendelea kupata matibabu. Wakati huo huo, watu 128 bado wako karantini baada ya kufuatiliwa kufuatia kifo cha mgonjwa wa kwanza.
Habari hizi zinajiri wakati mamlaka za afya nchini DRC zikisema mlipuko huo umeenea hadi katika jimbo la nane.

==================
Kenya on Sunday confirmed one new case of Ebola virus, raising the country’s total infections to eight.
Health Director General Patrick Amoth on Sunday told Citizen TV that the Ministry of Health tested 38 people on Sunday and one turned out to be positive for the Bundibugyo strain.

Not a direct health care worker, a 49-year-old gentleman who developed symptoms of fever, headache, and muscle pain, and his test came out positive,” Amoth said on the new Ebola case.

Amoth said the patient has since been isolated and is being prepared to receive compassionate treatment that has been administered to the 7 other patients.
The confirmed patients have been receiving Monoclonal Antibodies treatment, which the DG says “they have been responding very well.”

The new case comes after the country announced four new Ebola cases on Saturday, including a close male relative of the country’s first patient and three health workers who attended to him while he was in hospital.
Amoth further allayed fears of community transmission, saying there was a low possibility that the quarantined persons transmitted the disease at community level.

Chanzo: DW Kiswahili
 
Back
Top Bottom