Idadi kubwa ya mashoga wakiwa waislam ndio Uislam huo?? Waumin ni binadam watahesabiwa kwa matendo yao na Uislam utabaki uislam.Samahani tupe sisi waislam wenzio dua ya kuzama chumvini. Weka na dua ya ushoga kwani idadi kubwa ya mashoga ni waumini wenzetu
Mkuu nadhani unakumbuka jibu alilowapa Yesu wale mafarisayo walipo washitaki wanafunzi wake kwa Yesu kuwa wanakula bila kunawa mikono kwanza.....Mkuu lengo LA mtoa mada ni kuwakumbusha waamini wa imani husika wala sio kuifananisha na imani nyingine.
Binafsi sio muumini wa imani husika ila nafurahia na kujifunza kuona wanachofanya wenzetu.
Ni kweli tupo huru, ila kufanya sala kwenye jambo Fulani hakuondoi Uhuru ni kama sala kabla ya kula.
Barikiwa
Alisemaje...Mkuu nadhani unakumbuka jibu alilowapa Yesu wale mafarisayo walipo washitaki wanafunzi wake kwa Yesu kuwa wanakula bila kunawa mikono kwanza.....
Mkuu nadhani wakumbuka yule mfanyabiashara aliye muuliza yesu afanye nini ili apate kuurithi ufalme wa mungu....alipo muuliza wazijua amri .,akajibu ndiyo ...then akamwambia akafanyeje???Yesu hakuja kuitengua torati na manabii, bali alikuja kuitimiliza. Tunahukumiwa kwa matendo ya sheria, ndio maana ukitenda uovu utaingua motoni (jehanam) lakini ukitubu utahesabiwa haki.
America ,uk asilimia kubwa ni mashoga na ni wa mlengo uleee...Idadi kubwa ya mashoga wakiwa waislam ndio Uislam huo?? Waumin ni binadam watahesabiwa kwa matendo yao na Uislam utabaki uislam.
Kwa nini umebadilisha jina jamani?........nammiss kunduva wangu!![emoji19] [emoji19] [emoji19]Ndio mimi au umenisahau
Ninakuuliza tena ya kuwa....Je unajua kuwa JF sio Masjid?Naomba uielewe thread Mkuu. Tunakumbushana kundi flan hata wewe uko huru kulikumbusha kundi lako hasa Kwenye maswala ya ndoa.
Kabla ya kula unasaligi? Kabla ya kuanza safari unasaligi?Mkuu nadhani wakumbuka yule mfanyabiashara aliye muuliza yesu afanye nini ili apate kuurithi ufalme wa mungu....alipo muuliza wazijua amri .,akajibu ndiyo ...then akamwambia akafanyeje???
Pili: wakati wa musa waliluwa wakijitakasa dhambi kwa kutoa dhabihu za wanyama..... sasa hivi vipi ,mbona mbona hatuchinji wanyama,au kwa lugha sanifu hatutoi dhabihu kusamehewa dhambi au ili tujitakase???
[HASHTAG]#The[/HASHTAG] pastor to come.....loading..
Yesu Kristo alishawaweka watu HURU, huku kwingine hata kukojoa Mwanaume ni lazima uchuchumae huku umeshika TP, ashakhum si matusi....!Kama kuna kitu huwa sipendi ni kuishi kwa masharti.
Any way niambie wewe kabla ya kumgegeda shemeji huwa unasali???Kabla ya kula unasaligi? Kabla ya kuanza safari unasaligi?
Huu mwandiko kama naujua hivihio dua ni kwa mwanaume tu?au na mwanamke anaweza kuomba wakati anaingiliwa?
Mungu ashukuriwe zile nyuzi zako za bwana ako anapenda kunyonya tigo naona zimekutana na nguvu ya Mungu.Ndio mimi au umenisahau
[emoji23] [emoji23] [emoji23]yaani kila sehemu kuna Dua hatari kweli, vipi kutongoza ipo duka yake??
Mume anapotaka kumuingilia mkewe, inampasa daima aseme:
بِسْمِ الله اللّهُـمَّ جَنِّبْنا الشَّيْـطانَ، وَجَنِّبِ الشَّـيْطانَ ما رَزَقْـتَنا
Bismillahi, Allaahuuma Jannibnaa-sh-Shaytwaan, Wa Jannibish-Shaytwaana Maa Razaqtanaa
Kwa jina la Allaah, Ee Allaah Tuepushe na Shaytwaan, na Muepushe shaytwaan na Ulichoturuzuku (yaani kizazi).
Mtume صلى الله عليه وآله وسلم amesema kuhusu hili:
((فإن قضى الله بينما ولداً؛ لم يضره الشيطان أبداً))
((Baada ya hapo Allaah سبحانه وتعالى Akijaalia, watapata mtoto ambaye Shaytwaan hatoweza kumdhuru abadan))
Nb:
Hapa sio msikitini Wala kanisan, lakini jukwaa hili linagusa mahusiano, urafiki, ndoa na kimsingi mahusiano yetu yanajengwa kwa misingi ya iman fulani. Sijakashifu imani ya mtu Niko katika kuelimisha kwa kundi nililolikusudia mods naomba wale wanaokashifu dini na kuzua matusi wapigwe ban na sio kuifungia thread kwa ajili ya watu wachache wenye kukashifu na wengi wakakosa fursa ya kujifunza.