(Du'aa) Ya Kusema Wakati Wa Kumuingilia Mkeo

(Du'aa) Ya Kusema Wakati Wa Kumuingilia Mkeo

Sasa kila unapomuingiria mkeo lazima apatikane mtoto? Na kama hamtafuti mtoto je kuna dua gani?
 
ukitembea na mke wako wa ndoa kuna haja ya kuoga janaba.
Ukiwa umeoa au umeolewa basi kule kujamiiana kunawafanya wote wawili muwe katika hali ya janaba. Ikiwa mume amecheza na mkewe bila kufanya tendo, yeye pekee akashusha au wote wawili, basi katika hali hiyo, mume pekee au wote wawili watakuwa katika janaba.
 
hpo ndio utaona hii dini imekamilika katika kila nyanja

na unapomaliza shughuli hiyo kuna kuoga janaba kwa mujibu wa sunna

sasa hapa ndio utawaona hata wale wasiomkubali
mtume hapo wanamfata
Kwenye suala la ngono kweli imekamilika kila idara lkn kuhusu spiritual issues ni zero kabisa
 
Kwenye suala la ngono kweli imekamilika kila idara lkn kuhusu spiritual issues ni zero kabisa
Ulitaka kwenye jukwaa hili nielezee kuhusu iman kuwa na mipaka na dini za watu. Sijakashifu dini ya mtu usitake kuharibu Mada
 
Ila ile Dua'h ya Kikatoliki ndo nzuri. Maana unaongea na Mungu Wa Kweli.
Ndugu yangu tusifanye hivi,,,tutumie jukwaa hili kufurahi na kuwa na umoja na urafiki.Ni vibaya kumuumiza mtu kihisia,,mimi pia huwa naongea vibaya lakini tujizuie kwa baadhi ya wakati ambao hakuna aliekutukana na kukuprovoke.Sio vizuri kuanza kumuudhi mtu.Ni vema hata nisome au usome tu coment kuliko Kusema maneno makali ya kubomoa kwa mtu innocent.
 
Ndugu yangu tusifanye hivi,,,tutumie jukwaa hili kufurahi na kuwa na umoja na urafiki.Ni vibaya kumuumiza mtu kihisia,,mimi pia huwa naongea vibaya lakini tujizuie kwa baadhi ya wakati ambao hakuna aliekutukana na kukuprovoke.Sio vizuri kuanza kumuudhi mtu.Ni vema hata nisome au usome tu coment kuliko Kusema maneno makali ya kubomoa kwa mtu innocent.
 
Kwenye suala la ngono kweli imekamilika kila idara lkn kuhusu spiritual issues ni zero kabisa
hapa hata wewe usiemkubali mtume unafata mafundisho yake yesu hajafundisha swala la kuoga baada ya tendo la ndoa sababu mwenyewe hajapata kufanya hizo mambo

yataje hayo mambo mengine tutakuelimisha tu
 
Back
Top Bottom