Ila waislam bwana, hata ukiingia chooni unapiga duwa.hpo ndio utaona hii dini imekamilika katika kila nyanja
na unapomaliza shughuli hiyo kuna kuoga janaba kwa mujibu wa sunna
sasa hapa ndio utawaona hata wale wasiomkubali
mtume hapo wanamfata
Kwahiyo hii ya kiislamu ni Mungu wa uongo????Ila ile Dua'h ya Kikatoliki ndo nzuri. Maana unaongea na Mungu Wa Kweli.
Ila waislam bwana, hata ukiingia chooni unapiga duwa.
Kinora eeeh..teh teh! Mambo hayo hayana duaa buana, mzuka ukipanda unacheza mechi tu.Ile hamu ikikolea nitasali baada ya kazi 'God will understand'
wakuongezee nitalipaHii nyagi bhana... yani nimekumbuka Wamakabayo peke yake...
yaani kila sehemu kuna Dua hatari kweli, vipi kutongoza ipo duka yake??