(Du'aa) Ya Kusema Wakati Wa Kumuingilia Mkeo

(Du'aa) Ya Kusema Wakati Wa Kumuingilia Mkeo

Kinora eeeh..teh teh! Mambo hayo hayana duaa buana, mzuka ukipanda unacheza mechi tu.
mantiki ya dini nimfumo mzima unaohusu maisha ya mwanadamu mpka kifo chake ..so usishangae kuhusu hilo mkuu
unapaswa kushangaa utakaposkia ama kuona dini yoyote ambayo haina sheria katka baadhi ya mambo
 
Mkuu lengo LA mtoa mada ni kuwakumbusha waamini wa imani husika wala sio kuifananisha na imani nyingine.

Binafsi sio muumini wa imani husika ila nafurahia na kujifunza kuona wanachofanya wenzetu.

Ni kweli tupo huru, ila kufanya sala kwenye jambo Fulani hakuondoi Uhuru ni kama sala kabla ya kula.

Barikiwa
unaakili sana watu kama wewe walikufa kwenye vita ya pili ya dunia huko sasa cjui wewe umetokea wapi..m
hata mimi ninaelement kama zako ..dini yangu nimuslim lakini huwa siruhusu mdomo wangu kukashifu Kile nisichokijua ambacho wenzangu wanakiamini !!!
 
na bao linavokuja uwe unasema ... allah akbar...allah akbar... na kibamia chako
 
waislamu bana,hapa mnatutafuta tu maneno tuongee mseme tunaleta udini...
hata wakristo tuna sala yetu kabla mgegedo mkuu!!..ipo ndani ya mithali/wimbo ulio bora kama sijasahau!..
 
sasa si itapoa ..mambo ya dua tena kupoteza muda tu
 
Mume anapotaka kumuingilia mkewe, inampasa daima aseme:

بِسْمِ الله اللّهُـمَّ جَنِّبْنا الشَّيْـطانَ، وَجَنِّبِ الشَّـيْطانَ ما رَزَقْـتَنا

Bismillahi, Allaahuuma Jannibnaa-sh-Shaytwaan, Wa Jannibish-Shaytwaana Maa Razaqtanaa


Kwa jina la Allaah, Ee Allaah Tuepushe na Shaytwaan, na Muepushe shaytwaan na Ulichoturuzuku (yaani kizazi).


Mtume صلى الله عليه وآله وسلم amesema kuhusu hili:


((فإن قضى الله بينما ولداً؛ لم يضره الشيطان أبداً))



((Baada ya hapo Allaah سبحانه وتعالى Akijaalia, watapata mtoto ambaye Shaytwaan hatoweza kumdhuru abadan))







Nb:
Hapa sio msikitini Wala kanisan, lakini jukwaa hili linagusa mahusiano, urafiki, ndoa na kimsingi mahusiano yetu yanajengwa kwa misingi ya iman fulani. Sijakashifu imani ya mtu Niko katika kuelimisha kwa kundi nililolikusudia mods naomba wale wanaokashifu dini na kuzua matusi wapigwe ban na sio kuifungia thread kwa ajili ya watu wachache wenye kukashifu na wengi wakakosa fursa ya kujifunza.
بارك الله فيك
 
hpo ndio utaona hii dini imekamilika katika kila nyanja

na unapomaliza shughuli hiyo kuna kuoga janaba kwa mujibu wa sunna

sasa hapa ndio utawaona hata wale wasiomkubali
mtume hapo wanamfata
Kwani kabla ya mtume watu walikuwa hawaogi janaba tumia akiri vizuri.
 
Barakallah feeek!

Kumbusho!

Dua hii ni wakati wa kumuingilia Mkeo sio wakati wa kuzini na Mahawara
Nitangulize samahani kama swali langu litakuwa kinyume: Nataka nifahamishwe wakati mwanaume au mwanamke wakati anapiz (anafika kileleni) ni dua gani anatakiwa atamke? akisema walah-akibar atakuwa amekosea?
 
((فإن قضى الله بينما ولداً؛ لم يضره الشيطان أبداً))

((Baada ya hapo Allaah سبحانه وتعالى Akijaalia, watapata mtoto ambaye Shaytwaan hatoweza kumdhuru abadan))
Kama ni kweli hii itapendeza sana
 
Back
Top Bottom