(Du'aa) Ya Kusema Wakati Wa Kumuingilia Mkeo

Mume anapotaka kumuingilia mkewe, inampasa daima aseme:

بِسْمِ الله اللّهُـمَّ جَنِّبْنا الشَّيْـطانَ، وَجَنِّبِ الشَّـيْطانَ ما رَزَقْـتَنا

Bismillahi, Allaahuuma Jannibnaa-sh-Shaytwaan, Wa Jannibish-Shaytwaana Maa Razaqtanaa

Kwa jina la Allaah, Ee Allaah Tuepushe na Shaytwaan, na Muepushe shaytwaan na Ulichoturuzuku (yaani kizazi).

Mtume صلى الله عليه وآله وسلم amesema kuhusu hili:

((فإن قضى الله بينما ولداً؛ لم يضره الشيطان أبداً))

((Baada ya hapo Allaah سبحانه وتعالى Akijaalia, watapata mtoto ambaye Shaytwaan hatoweza kumdhuru abadan))

Nb:
Hapa sio msikitini Wala kanisan, lakini jukwaa hili linagusa mahusiano, urafiki, ndoa na kimsingi mahusiano yetu yanajengwa kwa misingi ya iman fulani. Sijakashifu imani ya mtu Niko katika kuelimisha kwa kundi nililolikusudia mods naomba wale wanaokashifu dini na kuzua matusi wapigwe ban na sio kuifungia thread kwa ajili ya watu wachache wenye kukashifu na wengi wakakosa fursa ya kujifunza.

Sawa, ila inabidi useme hii ni kwa ajili ya waumini tu. Wengine tunaojitambua tunafuata mila za kwetu japo tunaamini uwepo wa Mungu pia.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] Mkuu unawajulia sana hawa watoto wa bi mdogo
Anawajulia mbumbumbu wenzake sio sisi,tunaamuaga kukaa kimya kulingana na uzi wenyewe, hebu muambie aanzishe uzi wa malumbano ya hoja kuhusiana na dini zetu ili uone watu walivyo smart na sio huyo punguani unaemsifia, uislam unatufundisha ila mtu akileta za kujua tunamfundisha kulingana na IQ yake.
 
Mume anapotaka kumuingilia mkewe, inampasa daima aseme:

بِسْمِ الله اللّهُـمَّ جَنِّبْنا الشَّيْـطانَ، وَجَنِّبِ الشَّـيْطانَ ما رَزَقْـتَنا

Bismillahi, Allaahuuma Jannibnaa-sh-Shaytwaan, Wa Jannibish-Shaytwaana Maa Razaqtanaa

Kwa jina la Allaah, Ee Allaah Tuepushe na Shaytwaan, na Muepushe shaytwaan na Ulichoturuzuku (yaani kizazi).

Mtume صلى الله عليه وآله وسلم amesema kuhusu hili:

((فإن قضى الله بينما ولداً؛ لم يضره الشيطان أبداً))

((Baada ya hapo Allaah سبحانه وتعالى Akijaalia, watapata mtoto ambaye Shaytwaan hatoweza kumdhuru abadan))

Nb:
Hapa sio msikitini Wala kanisan, lakini jukwaa hili linagusa mahusiano, urafiki, ndoa na kimsingi mahusiano yetu yanajengwa kwa misingi ya iman fulani. Sijakashifu imani ya mtu Niko katika kuelimisha kwa kundi nililolikusudia mods naomba wale wanaokashifu dini na kuzua matusi wapigwe ban na sio kuifungia thread kwa ajili ya watu wachache wenye kukashifu na wengi wakakosa fursa ya kujifunza.
Kwa dua hii naona maingiliano kati ya mke na mume lazima yawe yenye kunuia kupata watoto. Hii haifanyi vitu kama blowjob, kumwaga nje na vingine vya kimahaba visivyo na nia ya kusababisha uzazi kuwa dhambi?

Naomba maoni yako ulamaa...
 
Naona umezaliwa upya bibie...ila kweli lile jina bwana mmh..BTW shukrani Kwa ukumbusho! Ila ungekumbusha kujifunika shuka wakati wa kusex..kuna busara yake pia..

hahahahaha samahan nimejikuta nacheka tu
 
Mume anapotaka kumuingilia mkewe, inampasa daima aseme:

بِسْمِ الله اللّهُـمَّ جَنِّبْنا الشَّيْـطانَ، وَجَنِّبِ الشَّـيْطانَ ما رَزَقْـتَنا

Bismillahi, Allaahuuma Jannibnaa-sh-Shaytwaan, Wa Jannibish-Shaytwaana Maa Razaqtanaa

Kwa jina la Allaah, Ee Allaah Tuepushe na Shaytwaan, na Muepushe shaytwaan na Ulichoturuzuku (yaani kizazi).

Mtume صلى الله عليه وآله وسلم amesema kuhusu hili:

((فإن قضى الله بينما ولداً؛ لم يضره الشيطان أبداً))

((Baada ya hapo Allaah سبحانه وتعالى Akijaalia, watapata mtoto ambaye Shaytwaan hatoweza kumdhuru abadan))

Nb:
Hapa sio msikitini Wala kanisan, lakini jukwaa hili linagusa mahusiano, urafiki, ndoa na kimsingi mahusiano yetu yanajengwa kwa misingi ya iman fulani. Sijakashifu imani ya mtu Niko katika kuelimisha kwa kundi nililolikusudia mods naomba wale wanaokashifu dini na kuzua matusi wapigwe ban na sio kuifungia thread kwa ajili ya watu wachache wenye kukashifu na wengi wakakosa fursa ya kujifunza.
Tupe dua ya kumwingilia mchepuko mkuu
 
Umesahau pale mtu anapooa kabla hajamuingilia mke wake inabidi amswalishe kwanza.
 
Kwani hasa unasema wakati mashine ikoje? Sometime inafeli na du aa ushasoma au mkeo akabana miguu au unaisema ukiwa u.megusa pambuchi? Unamlaani shetwan asisogee ili ufaidi
 
Back
Top Bottom