stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,150
yaani kila sehemu kuna Dua hatari kweli, vipi kutongoza ipo duka yake??
Hakuna duka la kutongoza[emoji1321]
Wenye Laana utawajua tu hata maandishi hawayaoni[emoji3]
yaani kila sehemu kuna Dua hatari kweli, vipi kutongoza ipo duka yake??
hio dua ni kwa mwanaume tu?au na mwanamke anaweza kuomba wakati anaingiliwa?
Ninakuuliza tena ya kuwa....Je unajua kuwa JF sio Masjid?
Humu kuna Wakristo, Wahindu, Wapagani na Atheists....Ni kwanini unafikiri kuna umuhimu wa wewe kutuwekea hayo hapa?
Yanatuhusu nini sisi? kwa vipi?
Kwanini hujapost katika makundi ya Waumini'n wa kiislam huko Whatsapp ama Masjid?
Sio muumini wa hiyo dini.Any way niambie wewe kabla ya kumgegeda shemeji huwa unasali???
That's why nakwambia haupo chini ya sheria ....uko huru kijana...
Ukitaka kunywa maji sali??
Ukinunua nguo kabla ya kuivaa sali??
Ukienda kuoga sali?
Ukitaka kukojoa sali?
Ukinunua chumvi dukani sali??
Ukitaka kupika sali????
Eheeeeee.....
Samahani tupe sisi waislam wenzio dua ya kuzama chumvini. Weka na dua ya ushoga kwani idadi kubwa ya mashoga ni waumini wenzetu
Huu mwandiko kama naujua hivi
Acha kiherehere....haya maswali nimemuuliza mleta mada na sii wewe, acha kuwashwawashwa.Kwani umelazimishwa kucoment, kama kitu haki kuhusu we pitiliza tu
My classmate anaitwa Rebecca. The handwriting and its tone vimefanana sana😛😛ni wa nani tena?lol
Hhhhaaaaawaislamu bana,hapa mnatutafuta tu maneno tuongee mseme tunaleta udini...
Amekuuliza swali zuri tu,mwenye chuki huficha chuki yake kwa maneno mazuri,lakina huwa ana hila moyoni mwake [ Biblia : 26 :24] Kuna uzi upo hapa MMu @wenye wanaume walokole tukutane hapa, sijaona ukienda kutoa mapovu yako kule,Kwani Jf sote ni walokole? lakini kwa kuwa ndoa nyingi hujengwa ktk misingi ya Imani,hakuna alieends kuutusi ule uzi,TuvumilianeAcha kiherehere....haya maswali nimemuuliza mleta mada na sii wewe, acha kuwashwawashwa.
Acha kiherehere....haya maswali nimemuuliza mleta mada na sii wewe, acha kuwashwawashwa.
Huyu mtu simjibugi. Anapenda mabishano yasiyo ya msingi achana NAYEAmekuuliza swali zuri tu,mwenye chuki huficha chuki yake kwa maneno mazuri,lakina huwa ana hila moyoni mwake [ Biblia : 26 :24] Kuna uzi upo hapa MMu @wenye wanaume walokole tukutane hapa, sijaona ukienda kutoa mapovu yako kule,Kwani Jf sote ni walokole? lakini kwa kuwa ndoa nyingi hujengwa ktk misingi ya Imani,hakuna alieends kuutusi ule uzi,Tuvumiliane
Barikiwa sana mtumishi yote alimaliza pale GoligothaNachojua mimi nipo huru sipo chini ya sheria, ninahesabiwa haki kwa neema na si kwa matendo ya sheria.....Du mpaka kwenda msalani eti dua?????
Asante Yesu kwa kunikimboa kwenye utumwa wa sheria za enzi ya Musa......# am freee guys ..nyie bakini hukohuko na sheria zenu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Samahani tupe sisi waislam wenzio dua ya kuzama chumvini. Weka na dua ya ushoga kwani idadi kubwa ya mashoga ni waumini wenzetu
Jf ina mambo sana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji2]Muhammad aliisoma hiyo dua kabla ya kumwingilia kimwili mtoto Aisha wa miaka 9 ?
karibu.
Hivi mkuu we ni ke au me,mana kuna wakati naona una kiherehere sana.Acha kiherehere....haya maswali nimemuuliza mleta mada na sii wewe, acha kuwashwawashwa.
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] Mkuu unawajulia sana hawa watoto wa bi mdogoY
Yesu Kristo alishawaweka watu HURU, huku kwingine hata kukojoa Mwanaume ni lazima uchuchumae huku umeshika TP, ashakhum si matusi....!
Ukipiga chafya lazima useme Alhamdullilah....!
Ukipumua kwa njia ile ni lazima useme Allah Akbar na ukatafute udhu.