Dua za dhati kwa swahiba wangu Floyd Mayweather

litakuwa saa 12 asubuh.. kwenye pop up chanel ya dstv.. kwa wale ambao wanayo
 
Mywether nataka atandikwe aache ushamba. .mara kutembea na pesa na kupga nazo pcha mara msururu wa mabounser. ..aige wenye Pesa kina Jayz .$810 milion..P DIDY .$820 milion..yeye ata nusu ajawafkia ana $340 milion ila kila siku ni pcha kama demu na vinoti..wazungu wataendelea kutuacha tu huwez kukuta kna Bilget. .na vijana kama kna Neymar .. messi ..Ronaldo na wengne kwenye huu upuuz...wapo cool wakat pesa wanazo
Kila mtu aishi atakavyo

DJ sepetu
 
a8fffc6f722eccb3b357a1b6b4ebb6dd.jpg
Mc Gregory ana rungu aisee

DJ sepetu
 
8c764b7461dc71aac53a486642bdd55e.jpg


Dharau na kejeli za Myweather kwenye pesa ndizo zilipelekea au ndizo zinamsababisha Conor amtamani zaidi ulingoni huyo mchizi halafu mchizi mwenyewe katoka kwenye hustling. Sasa nadhani kila mmoja kwa wakati wake lazima ana presha juu ya hili pambano. Mimi mwenyewe nalisubiri kwa hamu sana. Ila nipo upande wa Conor
So

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe unaona vipi kwani??
Jamaa anaishi dream life yako wewe utakufa maskini tu
Wabongo hutawaweza. Kama hili pambano la leo hawajamchangia hata mia, sasa akisema aanze kufanya matunzi yake wanatokwa povu.


Hukwepo wakati nazisaka usinipangie kuspen - R.I.P NGWEA.
 
Leta mrejesho nan kapigwa huko

Cc mbitiyaza

Sent using Jamii Forums mobile app
My weather ameshinda kwa knockout round ya kumi baada ya kumsukumia makonde mfululizo usoni mc Gregory aliyekuwa ameloa damu usoni kidogo adondoke ktk kamba hadi nje ya ulingo ambapo referee amebidi amuokoe kwa kusimamisha pambano

Asante myweather kwa kutubeba waafrika

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom